Hakuna ugonjwa wa UKIMWI

Hakuna ugonjwa wa UKIMWI

Habari zenu wana JF, leo nataka ku-share na ninyi kuhusu hili neno UKIMWI(wengine husema ugonjwa wa UKIMWI). Kama wengi tunavyofahamu kuwa UKIMWI ni kifupi cha neno Upungufu wa KInga MWIlini, kwahiyo hapa inaonesha kwamba mwanadamu anakuwa na kiasi fulani cha kinga kwenye mwili wake, ila akishambuliwa sana na magonjwa (typhoid, Malaria, Homa ya ini, magonjwa ya zinaa n.k) na akashindwa kutumia dawa vizuri na kula mlo bora basi kinga mwilini mwake zinapungua kutoka level yake ya kawaida mpaka level ya chini...kwahiyo akienda ku-SCAN idadi/kiasi cha kinga zake mwilini atakuta zimepungua kwa asilimia fulani hivyo atakua amepata UKIMWI. Kwahiyo ndugu zangu hakuna ugonjwa wa UKIMWI ila kuna magonjwa ya zinaa, malaria, typhoid na kadhalika.... just kula vizuri mantain level ya kinga yako ya mwili ili isipungue ukajikuta unapata UKIMWI .
Hii nayo kali, ina maana hata HIV/AIDS hujawahi kuisikia. Shukuru Mungu umekuta angalau kuna vitu vya kuvifubaza VIRUS vile ni hatari hasa kipindi havijapata mfubazo enzi hizo ukimuona mtu ukaambiwa ana ugonjwa wa 'SLIM' ilikuwa hatari.
 
nkiupata nini? mimi Kinga haziwezi kupungua kwasababu nafanya mazoezi na nakula mlo bora, nkiumwa natumia dawa...jaribu na ww usijepata upungufu wa kinga aseee
Kwa sasa, ringa kama hujaupata ila ukiingia 18 zako hutakuwa na moyo wa kutuandikia huu upupu
 
Umewahi kupima lakini au unawadanganya wenzako kisa wewe unaogopa kwenda kupima..!
 
Huyu jamaa kama hatumi lile jani haramu basi amepita mitandaoni amekutana na taarifa zisizo sahihi/conspiracy ambazo zimejaa kuhusu hili swala.bila shaka huyu jamaa hana utaalamu wowote wa afya.
 
Sina uhakika ila nasikia kirusi cha AIDS huwa kimepandwa kwenye ARV na ukipima ukaambiwa una UKIMWI ukianza tu kubwia kete hizi ndio unakuwa umeunganishwa na Grid la Taifa ili wenye Taasisi zao TACAIDS na wengineo waanze kupiga hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
ARV zimeanza hivi karibuni,kipindi ugonjwa unaingia nchini tuliona watu walivyokonda na kuteseka hadi kifo lakini siku hizi hizo dawa zinaficha mnasikia alikuwa na ngoma baada ya kufa hata hamuamini maana alikuwa vizuru tuu,ndio maana watu siku hizi hata hawauogopi.
 
Kama ukimwi hakuna nenda kona baa piga DRY mademu wa pale kwa mda wa mwezi kisha kaa miezi mitatu kapime ngoma kisha ulete majibu humu.
Hili jibu hata kama ni mbishi kiasi gani ataelewa tu. Nimeshuhudia Ukimwi umeua watu 6 kwenye mtaa wetu.
Mtoa uzi tuwasiliane kuna wanawake wawili wameathirika na UKIMWI (Japo yy haamini) nataka ukapige mashie dry. Gharama zote juu yangu. Nahitaji kuthibitisha kama UKIMWI haupo. Ni pm
 
Habari zenu wana JF, leo nataka ku-share na ninyi kuhusu hili neno UKIMWI(wengine husema ugonjwa wa UKIMWI). Kama wengi tunavyofahamu kuwa UKIMWI ni kifupi cha neno Upungufu wa KInga MWIlini, kwahiyo hapa inaonesha kwamba mwanadamu anakuwa na kiasi fulani cha kinga kwenye mwili wake, ila akishambuliwa sana na magonjwa (typhoid, Malaria, Homa ya ini, magonjwa ya zinaa n.k) na akashindwa kutumia dawa vizuri na kula mlo bora basi kinga mwilini mwake zinapungua kutoka level yake ya kawaida mpaka level ya chini...kwahiyo akienda ku-SCAN idadi/kiasi cha kinga zake mwilini atakuta zimepungua kwa asilimia fulani hivyo atakua amepata UKIMWI. Kwahiyo ndugu zangu hakuna ugonjwa wa UKIMWI ila kuna magonjwa ya zinaa, malaria, typhoid na kadhalika.... just kula vizuri mantain level ya kinga yako ya mwili ili isipungue ukajikuta unapata UKIMWI .
Wewe ujanua sana kushinda madr ?wewe naelimu yako ya darasa la Nene unataka kupotosha akili kubwa?
 
Back
Top Bottom