Hakuna ugonjwa wa UKIMWI

Hakuna ugonjwa wa UKIMWI

Binafsi sipendi zana mkuu, mpaka hapa nina 45 age napiga kavu tu. Sipendi kupima UKIMWI kwa sababu nafsi yangu ilishagoma kuwa upo, huwa naamini UKIMWI ni vile vi ARV na taarifa mbovu ya kuambiwa kula matunda, mbogamboga, fanya mazoezi n.k kana kwamba anaenambia huwa anajua kwamba sifanyi mambo hayo. Pia nimejiridhisha kwamba vipimo viitwavyo vya UKIMWI huwa havipimi UKIMWI bali hupima tu antibodies za Mwili.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli mkuu, sema mazoezi nini na kujilinda na magonjwa magonjwa yasijepunguza sana kinga y a mwili wako.
pia kuna vipimo Genuine kabisa vya ku-SCAN idadi/kiasi cha kinga zako mwilini na ku-compare your age na idadi ya izo kinga
 
Mleta mada kama fala wakati mwingine kama mjanja. Kama haeleweki hivi, ukiangalia juujuu kama anaeleweka!

Kuna wanaodai AIDS ni project za watu, mi.i sijui......

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha Hahaha kabisa mimi na wewe hatujui kuhusu iyo project BUT kuhusu kupungua kwa kinga za mwili kutokana na magonjwa mbali mbali THIS IS REAL
 
Usiombe yakukute, utarudi mbio kuufuta huu uzi wako.

Kila mwanadamu ana chance ya kupata UKIMWI, hata ww saiv unaweza ukawa nao, cus its normal....ni vile magonjwa ni mengi ndo mana kinga somehow sometimes zinapungua
 
👆mkuu mimi nimekuelewa vizuri tuu. Maana ninae broo wangu hapa alipima na akaambiwa ana HIV baada ya hapo alisusa na hakwenda tena hospitali huu ni mwaka wa kumi sasa hatumii ARV wala chochote. Nilichoelewa ni kwamba;-
Siku unapoambiwa kuwa umeathilika na vizuri vya ukimwi huwa ni uongo tuu. Bali virus huvipata baada ya kuanza dozi. Yaani ni kama unavyoona mtumiaji na muathilika wa madawa ya kulevya. Yaani hakuna madhara unayoyapata kabla ya kuanza dozi ila shida inakuja ni baada ya kuanza dozi yaani haikutaki uache ile dozi tena. Yaani mwili hupata na arosto. Shukrani kakaa. Njoo uchukue kajero ka voucher
 
Mleta mada kama fala wakati mwingine kama mjanja. Kama haeleweki hivi, ukiangalia juujuu kama anaeleweka!

Kuna wanaodai AIDS ni project za watu, mi.i sijui......

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naamini sana kuwa AIDS ni project za watu kwa ajili ya kupiga hela kubwakubwa. Leo ukiamka ukanadi kuwa umegundua dawa ya UKIMWI hawa waheshimiwa wala huwa hawastuki kwakuwa wanajua fika kuwa umegundua dawa ambayo haipo kwa ugonjwa ambao haupo.
So wala hawajubughudhi wala kukuita uwashirikishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mwanadamu ana chance ya kupata UKIMWI, hata ww saiv unaweza ukawa nao, cus its normal....ni vile magonjwa ni mengi ndo mana kinga somehow sometimes zinapungua
Usimchukulie poa "Juliana"...kwanza ukijua tu kuwa unao ujue unaanza kukonda muda huohuo immediately😂😂😂
 
mkuu mimi nimekuelewa vizuri tuu. Maana ninae broo wangu hapa alipima na akaambiwa ana HIV baada ya hapo alisusa na hakwenda tena hospitali huu ni mwaka wa kumi sasa hatumii ARV wala chochote. Nilichoelewa ni kwamba;-
Siku unapoambiwa kuwa umeathilika na vizuri vya ukimwi huwa ni uongo tuu. Bali virus huvipata baada ya kuanza dozi. Yaani ni kama unavyoona mtumiaji na muathilika wa madawa ya kulevya. Yaani hakuna madhara unayoyapata kabla ya kuanza dozi ila shida inakuja ni baada ya kuanza dozi yaani haikutaki uache ile dozi tena. Yaani mwili hupata na arosto. Shukrani kakaa. Njoo uchukue kajero ka voucher
Huu ukweli unafunuka siku za kuelekea ukingoni mwa Dunia, watu hawataki kukubali ni kwa namna gani uongo mkuu umetumika kuuendesha ulimwengu. Neno la Mungu limesema wazi hakuna jambo lililofichwa ambalo halitafichuliwa wala hakuna jiwe litakaloachwa juu ya jiwe.
Binadamu tumekuwa mateka wa uongo kwa karne nyingi sana na hata sasa ukweli ukisemwa 1 kati ya mia ndio huupokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha ndio mmesoma leo nini?! Unaambiwa tumia maarifa yako kuiokoa jamii wewe unasumbua jamii. Kama umeelewa/kufahamu leo tujuze vizuri badala ya kudansi na sentensi za watu. Hayo mambo niliyakuta niliposoma logic kugeuza geuza vimaneno wakati maana ileile.
Kama umesoma hiyo topic kwenye immunology class leo, hongera sasa eleza uache kujaza uzi bila sababu.
 
Tatizo la binadamu huwa tunashindwa kuficha uzaifu wetu. Na uzaifu mkubwa wa binadamu ni kuogopa kufa. Ikitokea mtu akiutumia vizuri huu uzaifu bhasi lazima tukwame hapo. Na hata walioanziashi maswara ya DINI waliutumia uzaifu huu na kutuahidi hatutokufa milele, na kutuanzishia tumaduni za kikwao na kutuongoza kama punda. Kuna ambao wanalazimishwa kuamka saa kumi na alfajili kama tiketi ya hiyo kuishi milele yaani pepone na hawa mapimbi wengine wanadiliki kutoa hata pesa waki amini ni kama gharama ya kuuona ufalme wa mbinguni. Ila hawa wana nafuu ukilinganisha na hawa wanao bwia dawa kila siku.
 
Nice, Kusambaa kwa virusi sio UKIMWI, i must repeat UKIMWI ni upungufu wa kinga za mwili wako kujilinda dhidi ya magonjwa. Sasa kusambaa kwa virusi kuna njia nyingi.....Ngono, Mbu anaesababisha Malaria, Hewa, Mgusano wa maji maji lakini haya yooote sio UKIMWI, hizi ni njia za ku-transmitt viruses from one person to another.
Kila ugonjwa unaweza kukupelekea wewe kupata UKIMWI kama hutatibu huo ugonjwa vizuri kwa kufuata maelekezo ya Daktari, kunywa dawa ipasavyo, kula mlo bora na mazoezi ili kuhakikisha kinga zako ziko level. ila ukizemeba kinga zitapungua so utapata UKIMWI.
Nikisema wewe ni zezeta nitakua nakuonea? Virusi vya ukimwi vinakaa kwenye damu ndio maana vinapatikana kwa kujamiina... Maralia na magonjwa mengine yanajitegemea kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKIMWI ni zile dawa mnazopewa kwa kisingizio cha kuimarisha kinga ya mwili.

Ukweli ni kwamba, pale tu unapoanza kutumia zile dawa ndio unakuwa umesaini mkataba wa kuishi kwa kutegemea kinga artificial huku kinga yako ya asili ukiitia kapuni

Kinga ya mwili ina tabia ya kushuka na kupanda kulingana na vyakula unavyokula au muda mfupi tu baada ya kutoka kuamka, sasa hivi vipimo vya ukimwi vinaona ukweli kwamba kinga ya mtu fulani imeshuka lakini papo hapo ukienda nyumbani kwako ukaishi maisha ya kawaida alafu ukarudi baada ya siku chache vinaona kinga yako iko normal.

Ngoja niwape mbinu nzuri ya kuepukana na hili janga la kulishwa madawa ambayo ndio ukimwi wenyewe.

Kwa wale ambao mliwahi kupima mkaambiwa mna ukimwi na hamkutumia hizo dawa zao, nendeni tena mkapime mtakutwa hamna tena huo upungufu.
Au kwa ambao hamjapima kabisa, nendeni mkapime alafu yeyote atakaekutwa na huo upungufu wa kinga mwilini arudi akapige mishe zake kawaida alafu arudi siku nyingine ndani ya kituo hichohicho apime tena kama atakutwa na huo upungufu

Au mtu mmoja aweza kupima kituo hiki akakutwa ana upungufu wa kinga mwilini, alafu ndani ya week hiyohiyo akaenda kituo kingine akakutwa hana huo upungufu.

KINGA YA MWILI NI KAMA HALI YA HEWA.

Kinga yako inaweza kuwa katika hali tofautitofauti kulingana na lifestyle yako mwenyewe, ila elewa kwamba kinga hiyohiyo inajirejesha yenyewe kwenye hali ya kawaida kama ukibadili mfumo wako wa maisha na kuzingatia kanuni bora za afya.

Kwa wale ambao tayari wameshameza vidonge vya kupambana na ukimwi hawapaswi kuacha kwa sababu walishavipa ujira vidonge hivyo viwe mbadala wa kinga ya mwili.

Fanya utafiti mwenyewe hata wewe ambae ulipima jana ukakutwa upo vizuri kapime kituo kingine kesho na kingine keshokutwa kama kati ya vituo hivyo hujaambiwa una ukimwi.

Na wewe ambae vipimo vilionyesha umeathirika na hukuanza dozi, karudie kupima tena na tena kama utakutwa na hilo gonjwa feki

Pia hata kutokuzingatia matumizi sahihi ya dawa wakati unapougua magonjwa mengine, kwa asilimia kubwa husababisha kinga yako kuishiwa nguvu.
 
Wanasayansi wamefanya utafiti, wewe unapinga na unataka kutuaminisha kwa uchambuzi wako wa maneno!!
Hatari sana.
 
Vijana kwa hali hii tutazidi kupotea,virus vya HIV Vipo ni kama kilivyo kiini cha homa ya INI,kirusi cha mafua, kunavirus zaidi100 huko tofauti ni kwamba chenyewe ni RNA sisi mwilini tuna DNA so ilikikushambulie kikiingia kinajicopy na kutengeneza copy ya DNA yako kutoka chenyewe RNA ili kipunguze kinga ya mwili yako sababu DNA inayotengenezwa inakua sio pure kutoka mwilini kwako,hivi na mnaosema kwamba ni project za watu mnaelewa kwamba wazungu hizi dawa wanazotupa sio kwa ajili ya kupunguza makali tu ila mtu anaetumia dozi vizur akiwa na virus chini ya 1000 au akawa na kiwango kinaitwa TND au target not detected hawaz muambukiza mwingine ndo maana unaskia watu wapo kwenye ndoa na mmoja anao ila hamuambikizi mwenza wake,muulizege hata HIV viral load ni nin?na kwann MTU aliye kwenye doz akizid 1000 anaharakishwa arudie baada ya mda,chezeeni moto ila siku mkiwa nao stage ya mwisho unakuwa chizi sababu ya fungus cyptococcus neoformans haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikisema wewe ni zezeta nitakua nakuonea? Virusi vya ukimwi vinakaa kwenye damu ndio maana vinapatikana kwa kujamiina... Maralia na magonjwa mengine yanajitegemea kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

😀😀 sasa mimi na wewe nani zezeta? hakuna virusi vya UPUNGUFU WA KINGA MWILINI, kila ugonjwa, kila kirusi kinaweza kupelekea wewe kupata UKIMWI
 
Hahaha ndio mmesoma leo nini?! Unaambiwa tumia maarifa yako kuiokoa jamii wewe unasumbua jamii. Kama umeelewa/kufahamu leo tujuze vizuri badala ya kudansi na sentensi za watu. Hayo mambo niliyakuta niliposoma logic kugeuza geuza vimaneno wakati maana ileile.
Kama umesoma hiyo topic kwenye immunology class leo, hongera sasa eleza uache kujaza uzi bila sababu.

Elezea wewe vizuri sasa kiongozi mtaalam, tunakusikiliza apa
 
Back
Top Bottom