alliJAY4_four
Senior Member
- May 4, 2017
- 173
- 95
- Thread starter
- #41
UKIMWI ni zile dawa mnazopewa kwa kisingizio cha kuimarisha kinga ya mwili.
Ukweli ni kwamba, pale tu unapoanza kutumia zile dawa ndio unakuwa umesaini mkataba wa kuishi kwa kutegemea kinga artificial huku kinga yako ya asili ukiitia kapuni
Kinga ya mwili ina tabia ya kushuka na kupanda kulingana na vyakula unavyokula au muda mfupi tu baada ya kutoka kuamka, sasa hivi vipimo vya ukimwi vinaona ukweli kwamba kinga ya mtu fulani imeshuka lakini papo hapo ukienda nyumbani kwako ukaishi maisha ya kawaida alafu ukarudi baada ya siku chache vinaona kinga yako iko normal.
Ngoja niwape mbinu nzuri ya kuepukana na hili janga la kulishwa madawa ambayo ndio ukimwi wenyewe.
Kwa wale ambao mliwahi kupima mkaambiwa mna ukimwi na hamkutumia hizo dawa zao, nendeni tena mkapime mtakutwa hamna tena huo upungufu.
Au kwa ambao hamjapima kabisa, nendeni mkapime alafu yeyote atakaekutwa na huo upungufu wa kinga mwilini arudi akapige mishe zake kawaida alafu arudi siku nyingine ndani ya kituo hichohicho apime tena kama atakutwa na huo upungufu
Au mtu mmoja aweza kupima kituo hiki akakutwa ana upungufu wa kinga mwilini, alafu ndani ya week hiyohiyo akaenda kituo kingine akakutwa hana huo upungufu.
KINGA YA MWILI NI KAMA HALI YA HEWA.
Kinga yako inaweza kuwa katika hali tofautitofauti kulingana na lifestyle yako mwenyewe, ila elewa kwamba kinga hiyohiyo inajirejesha yenyewe kwenye hali ya kawaida kama ukibadili mfumo wako wa maisha na kuzingatia kanuni bora za afya.
Kwa wale ambao tayari wameshameza vidonge vya kupambana na ukimwi hawapaswi kuacha kwa sababu walishavipa ujira vidonge hivyo viwe mbadala wa kinga ya mwili.
Fanya utafiti mwenyewe hata wewe ambae ulipima jana ukakutwa upo vizuri kapime kituo kingine kesho na kingine keshokutwa kama kati ya vituo hivyo hujaambiwa una ukimwi.
Na wewe ambae vipimo vilionyesha umeathirika na hukuanza dozi, karudie kupima tena na tena kama utakutwa na hilo gonjwa feki
Pia hata kutokuzingatia matumizi sahihi ya dawa wakati unapougua magonjwa mengine, kwa asilimia kubwa husababisha kinga yako kuishiwa nguvu.
asante sana kiongozi, you said it all

