Hakuna ugonjwa wa UKIMWI

asante sana kiongozi, you said it all
 
Huo ugonjwa upo msidanganyane wala kupeana matumaini,kama huamini njoo nikudunge sindano yenye hao virusi halafu unipe matokeo.

Wengi mnaosema huu ugonjwa haupo wengi wenu ndio mnauogopa kinyama,hapa mnajifariji fariji tu
 
Sikatai haupo. Ika ukimwi umeletwa na hawa wanasanyansi. Then wakaja na story zao eti binadamu alifanya mapenzi na NYANI Ndo akaupata huko.
Sijui why wazungu wanapenda kumsingizia NYANI kila kitu.[emoji16][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ugonjwa upo msidanganyane wala kupeana matumaini,kama huamini njoo nikudunge sindano yenye hao virusi halafu unipe matokeo.

Wengi mnaosema huu ugonjwa haupo wengi wenu ndio mnauogopa kinyama,hapa mnajifariji fariji tu
Naomba unijibu hili swali:
JE KAMA WEWE HUNA UKIMWI (BUT KIMAKOSA WALIKWAMBIA UNAO)THEN UKAANZA KUTUMIA HAYO MADONGE YA ARV MFANO KWA MIEZI 3.....JE UTARUHUSIWA KUACHA UKIJUA KUMBE WALIKOSEA???
1.kama hutaruhusiwa kuacha basi jua yale madonge ni SHIDA.(ina maana yashaharibu kinga zako)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyani kabebeshwa mizigo ya dhambi ya binadamu aiseeee
EBOLA yeye
H.I.V yeye daaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugonjwa maana yake ni hali yoyote isiyo ya kawaida mwilini, inayotatiza utendaji kazi wa mwili. Upungufu wa kinga mwilini unaosababishwa na virusi, kwa definition ya ugonjwa ni ugonjwa. Hivyo UKIMWI ni ugonjwa. Full stop, hakuna namna ya kuupamba vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ugonjwa upo msidanganyane wala kupeana matumaini,kama huamini njoo nikudunge sindano yenye hao virusi halafu unipe matokeo.

Wengi mnaosema huu ugonjwa haupo wengi wenu ndio mnauogopa kinyama,hapa mnajifariji fariji tu
Hatusemi ugonjwa hakuna bali ugonjwa upo ila hauambukizwi kwa njia ya kujamiiana hapa namaanisha (HIV) Ila tunachosema sisi huu ugonjwa ni matokea ya kutumia ARV kama haukunielewa anza kumpa vile vidonge nguruwe kimoja kimoja kwa mwezi mmoja alafu acha kumpa je utagundua nn
 
"kuna magonjwa ya zinaa, malaria, typhoid"
Aisee Tuna safari ndefu hayo ndio magonjwa ya zinaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemuelewa vibaya na ndio maana akaweka alama ya comma au nayo hujui maana yake?
"....kuna magonjwa ya ZINAA, Malaria, Typhoid...."

"...Kuna Matunda, Mkaa, Mchele....."

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Ulishawahi kusikia mtu kafariki kwa ugonjwa wa UKIMWI??

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Kama ukimwi hakuna nenda kona baa piga DRY mademu wa pale kwa mda wa mwezi kisha kaa miezi mitatu kapime ngoma kisha ulete majibu humu.

Hata hiyo mipira nasikia haisaidii kiivyo!
Kwa miaka mingi nasikia kuna watu wamekuwa wakitumia mipira na bado wakapata maambukizi!
Tujifunze kumjua Mungu zaidi ili kuepukana na zinaa/uasherati hiyo itakuwa na usalama zaidi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako mkuu umeathilika na imani za hawa wajinga tafadhali nakuomba jibu hili sawali
Hizi akili ndo mnaponza wenzenu ,either ni uelewa mdogo au lah nnavyojua kama MTU ametest positive kwenye kipimo cha kwanza cha SD bioline lazima ahakikishe na Unigold hapo ni + na unaanza dozi sasa tatzo MTU akitumia dozi akaenda kupima viral load akiwa na target not detected wanamwambia hana ukimwi wakati ile inaashiria zimeshuka mpaka kiwango mashine haiwez kusoma tena sasa watu wanamwambia hana ndo kosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli kuhusu haya makitu anao yule anaeishi navyo , ila sisi wengine ni porojo tu.

Ila UKIMWI sio Ugonjwa.
 
Ulishawahi kusikia mtu kafariki kwa ugonjwa wa UKIMWI??

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Culture eti ni kweli ukimwi ni danganya toto?

Maendeleo hayana chama
 
Mkuu tusaidie kutufahamisha,Je HIV iko au hakuna kitu kama hicho?Na kama ipo ina mahusiano gani na Ukimwi.Maelezo yako ya awali yatajitosheleza zaidi ukiweza hujibu swali hili kwa ufasaha
 
Virusi vinaenda kujichibia kwa aina fulani ya seli muhimu za damu. Kuviua lazima uue seli hizo. Ila nasikia kuna dawa virusi vikiingia mwilini kwa muda mfupi say nusu saa ama lisaa...inaviua. Ndiyo maana matabibu hawana woga na UKIMWI kwenye kazi zao za kila siku. Ukweli wa jambo hili sina hii ni tetesi; nikipata ukweli nitarudi.
 
Culture eti ni kweli ukimwi ni danganya toto?

Maendeleo hayana chama
Kama jina lake linavyojielezea UPUNGUFU WA KINGA MWILINI, kinga zetu zinashuka ndio maana tunapata magonjwa, tunajitibu tunakua normal.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
 
Kinacho ua au kuathiri mtu siyo UKIMWI bali ni vigonjwa nyemelezi na hakuna death certificate inayosema kafa kwa UKIMWI Bali itakuwa TB au typhoid, na kadhalika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…