Hakuna ugonjwa wa UKIMWI

Hakuna ugonjwa wa UKIMWI

alliJAY4_four

Senior Member
Joined
May 4, 2017
Posts
173
Reaction score
95
Habari zenu wana JF, leo nataka ku-share na ninyi kuhusu hili neno UKIMWI(wengine husema ugonjwa wa UKIMWI). Kama wengi tunavyofahamu kuwa UKIMWI ni kifupi cha neno Upungufu wa KInga MWIlini, kwahiyo hapa inaonesha kwamba mwanadamu anakuwa na kiasi fulani cha kinga kwenye mwili wake, ila akishambuliwa sana na magonjwa (typhoid, Malaria, Homa ya ini, magonjwa ya zinaa n.k) na akashindwa kutumia dawa vizuri na kula mlo bora basi kinga mwilini mwake zinapungua kutoka level yake ya kawaida mpaka level ya chini...kwahiyo akienda ku-SCAN idadi/kiasi cha kinga zake mwilini atakuta zimepungua kwa asilimia fulani hivyo atakua amepata UKIMWI. Kwahiyo ndugu zangu hakuna ugonjwa wa UKIMWI ila kuna magonjwa ya zinaa, malaria, typhoid na kadhalika.... just kula vizuri mantain level ya kinga yako ya mwili ili isipungue ukajikuta unapata UKIMWI .
 
Ukiupata ulete mrejesho tafadhali

nkiupata nini? mimi Kinga haziwezi kupungua kwasababu nafanya mazoezi na nakula mlo bora, nkiumwa natumia dawa...jaribu na ww usijepata upungufu wa kinga aseee
 
Habari zenu wana JF, leo nataka ku-share na ninyi kuhusu hili neno UKIMWI(wengine husema ugonjwa wa UKIMWI). Kama wengi tunavyofahamu kuwa UKIMWI ni kifupi cha neno Upungufu wa KInga MWIlini, kwahiyo hapa inaonesha kwamba mwanadamu anakuwa na kiasi fulani cha kinga kwenye mwili wake, ila akishambuliwa sana na magonjwa (typhoid, Malaria, Homa ya ini, magonjwa ya zinaa n.k) na akashindwa kutumia dawa vizuri na kula mlo bora basi kinga mwilini mwake zinapungua kutoka level yake ya kawaida mpaka level ya chini...kwahiyo akienda ku-SCAN idadi/kiasi cha kinga zake mwilini atakuta zimepungua kwa asilimia fulani hivyo atakua amepata UKIMWI. Kwahiyo ndugu zangu hakuna ugonjwa wa UKIMWI ila kuna magonjwa ya zinaa, malaria, typhoid na kadhalika.... just kula vizuri mantain level ya kinga yako ya mwili ili isipungue ukajikuta unapata UKIMWI .
Sasa inakuwaje upungufu wa kinga unasambaa kwenda kwa wengine kwa kushirikiana tuu viungo vyenu?
 
vaa zana kijana ujikinge na kirusi kitakacho shambulia kinga mwili yako ishuke..
 
Nice, Kusambaa kwa virusi sio UKIMWI, i must repeat UKIMWI ni upungufu wa kinga za mwili wako kujilinda dhidi ya magonjwa. Sasa kusambaa kwa virusi kuna njia nyingi.....Ngono, Mbu anaesababisha Malaria, Hewa, Mgusano wa maji maji lakini haya yooote sio UKIMWI, hizi ni njia za ku-transmitt viruses from one person to another.
Kila ugonjwa unaweza kukupelekea wewe kupata UKIMWI kama hutatibu huo ugonjwa vizuri kwa kufuata maelekezo ya Daktari, kunywa dawa ipasavyo, kula mlo bora na mazoezi ili kuhakikisha kinga zako ziko level. ila ukizemeba kinga zitapungua so utapata UKIMWI.
 
Habari zenu wana JF, leo nataka ku-share na ninyi kuhusu hili neno UKIMWI(wengine husema ugonjwa wa UKIMWI). Kama wengi tunavyofahamu kuwa UKIMWI ni kifupi cha neno Upungufu wa KInga MWIlini, kwahiyo hapa inaonesha kwamba mwanadamu anakuwa na kiasi fulani cha kinga kwenye mwili wake, ila akishambuliwa sana na magonjwa (typhoid, Malaria, Homa ya ini, magonjwa ya zinaa n.k) na akashindwa kutumia dawa vizuri na kula mlo bora basi kinga mwilini mwake zinapungua kutoka level yake ya kawaida mpaka level ya chini...kwahiyo akienda ku-SCAN idadi/kiasi cha kinga zake mwilini atakuta zimepungua kwa asilimia fulani hivyo atakua amepata UKIMWI. Kwahiyo ndugu zangu hakuna ugonjwa wa UKIMWI ila kuna magonjwa ya zinaa, malaria, typhoid na kadhalika.... just kula vizuri mantain level ya kinga yako ya mwili ili isipungue ukajikuta unapata UKIMWI .
Kama ukimwi hakuna nenda kona baa piga DRY mademu wa pale kwa mda wa mwezi kisha kaa miezi mitatu kapime ngoma kisha ulete majibu humu.
 
Habari zenu wana JF, leo nataka ku-share na ninyi kuhusu hili neno UKIMWI(wengine husema ugonjwa wa UKIMWI). Kama wengi tunavyofahamu kuwa UKIMWI ni kifupi cha neno Upungufu wa KInga MWIlini, kwahiyo hapa inaonesha kwamba mwanadamu anakuwa na kiasi fulani cha kinga kwenye mwili wake, ila akishambuliwa sana na magonjwa (typhoid, Malaria, Homa ya ini, magonjwa ya zinaa n.k) na akashindwa kutumia dawa vizuri na kula mlo bora basi kinga mwilini mwake zinapungua kutoka level yake ya kawaida mpaka level ya chini...kwahiyo akienda ku-SCAN idadi/kiasi cha kinga zake mwilini atakuta zimepungua kwa asilimia fulani hivyo atakua amepata UKIMWI. Kwahiyo ndugu zangu hakuna ugonjwa wa UKIMWI ila kuna magonjwa ya zinaa, malaria, typhoid na kadhalika.... just kula vizuri mantain level ya kinga yako ya mwili ili isipungue ukajikuta unapata UKIMWI .
Hakuna UKIMWI ila kuna kirusi cha HIV . Hicho ndo kilitengenezwa ili kiweze kupunguza kinga za mwili wako kwa kasi ya umeme...( hicho kirusi ndio shida) haya magonjwa mengine kila mtu anapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vaa zana kijana ujikinge na kirusi kitakacho shambulia kinga mwili yako ishuke..

Sio ivyo tuu kaka, tumia chandarua usipate malaria, homa ya ini, fanya check up ya mwili wako mara kwa mara, fanya mazoezi, kula mlo bora ili kinga zisishuke, jiepushe na kipindupindu kwa kuweka mazingira masafi n.k
 
Hakuna UKIMWI ila kuna kirusi cha HIV . Hicho ndo kilitengenezwa ili kiweze kupunguza kinga za mwili wako kwa kasi ya umeme...( hicho kirusi ndio shida) haya magonjwa mengine kila mtu anapata.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli, ila kila ugonjwa usipoutibu vizuri unakupelekea kupata UKIMWI, sema kuna magonjwa mabayo yanapunguza kinga kwa speed kubwa kushinda mengine
 
Hakuna UKIMWI ila kuna kirusi cha HIV . Hicho ndo kilitengenezwa ili kiweze kupunguza kinga za mwili wako kwa kasi ya umeme...( hicho kirusi ndio shida) haya magonjwa mengine kila mtu anapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uhakika ila nasikia kirusi cha AIDS huwa kimepandwa kwenye ARV na ukipima ukaambiwa una UKIMWI ukianza tu kubwia kete hizi ndio unakuwa umeunganishwa na Grid la Taifa ili wenye Taasisi zao TACAIDS na wengineo waanze kupiga hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wana JF, leo nataka ku-share na ninyi kuhusu hili neno UKIMWI(wengine husema ugonjwa wa UKIMWI). Kama wengi tunavyofahamu kuwa UKIMWI ni kifupi cha neno Upungufu wa KInga MWIlini, kwahiyo hapa inaonesha kwamba mwanadamu anakuwa na kiasi fulani cha kinga kwenye mwili wake, ila akishambuliwa sana na magonjwa (typhoid, Malaria, Homa ya ini, magonjwa ya zinaa n.k) na akashindwa kutumia dawa vizuri na kula mlo bora basi kinga mwilini mwake zinapungua kutoka level yake ya kawaida mpaka level ya chini...kwahiyo akienda ku-SCAN idadi/kiasi cha kinga zake mwilini atakuta zimepungua kwa asilimia fulani hivyo atakua amepata UKIMWI. Kwahiyo ndugu zangu hakuna ugonjwa wa UKIMWI ila kuna magonjwa ya zinaa, malaria, typhoid na kadhalika.... just kula vizuri mantain level ya kinga yako ya mwili ili isipungue ukajikuta unapata UKIMWI .

Naona unarukaruka tu. Hata HIV hujataja? au hujawahi kusikia HIV Virus?
 
Sio ivyo tuu kaka, tumia chandarua usipate malaria, homa ya ini, fanya check up ya mwili wako mara kwa mara, fanya mazoezi, kula mlo bora ili kinga zisishuke, jiepushe na kipindupindu kwa kuweka mazingira masafi n.k
Binafsi sipendi zana mkuu, mpaka hapa nina 45 age napiga kavu tu. Sipendi kupima UKIMWI kwa sababu nafsi yangu ilishagoma kuwa upo, huwa naamini UKIMWI ni vile vi ARV na taarifa mbovu ya kuambiwa kula matunda, mbogamboga, fanya mazoezi n.k kana kwamba anaenambia huwa anajua kwamba sifanyi mambo hayo. Pia nimejiridhisha kwamba vipimo viitwavyo vya UKIMWI huwa havipimi UKIMWI bali hupima tu antibodies za Mwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom