DINI YA KIKRISTO: Iliundwa na Constantine, Roman Pagan Emperor/ pope na mekuhani wa kipagani wa kanisa la kwanza ndani ya Rome.
LENGO: Kuunganisha wafuasi halisi wa mesiah na wapagani ili kuongoza/ kutawala na kumiliki watu wote kiimani na kisiasa.
DINI YA USLAMU: Iliundwa na kanisa la ROMAN CATHOLIC kupitia kwa mke wa Muhammad aliyekuwa mfuasi wa Pope.Mohammad alifundishwa na RCC ndio maana hizi dini mbili baadhi ya vitu vimefanana.
JUDAISM: Based on pagan talmudic religious beliefs through back from babylon
CONSANTINE CREATION OF JESUS CHRIST
Nimepata kusoma mahali NENO katika Bible ni Code ya neno ONE.Imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa neno,..naomba niishie hapo.
Hebu nifafanulie..
DINI YA USLAMU: Iliundwa na kanisa la ROMAN CATHOLIC kupitia kwa mke wa Muhammad aliyekuwa mfuasi wa Pope.Mohammad alifundishwa na RCC ndio maana hizi dini mbili baadhi ya vitu vimefanana.
Upo deep nashukuru.DINI YA KIKRISTO: Iliundwa na Constantine, Roman Pagan Emperor/ pope na mekuhani wa kipagani wa kanisa la kwanza ndani ya Rome.
LENGO: Kuunganisha wafuasi halisi wa mesiah na wapagani ili kuongoza/ kutawala na kumiliki watu wote kiimani na kisiasa.
DINI YA USLAMU: Iliundwa na kanisa la ROMAN CATHOLIC kupitia kwa mke wa Muhammad aliyekuwa mfuasi wa Pope.Mohammad alifundishwa na RCC ndio maana hizi dini mbili baadhi ya vitu vimefanana.
JUDAISM: Based on pagan talmudic religious beliefs through back from babylon
Upo deep najua hawatakuelewa. Sina cha kuongezeaBIBLIA TAKATIFU ILIVYOPATIKANA
Constantine and his bishop votes a bunch of books as a the word of God (325 AD)
They pick and choose what they want in bible kwa madai kuwa zingine hazina uvuvio. Waliteketeza all other pre-Christian document that proved the religion was fictious (391AD)
In order to make religion popular walimuua yoyite ambaye hakunali dini mpya and made laws prohibiting any talk about religion.
Leo mkristo anakumbatia biblia bila kujua anachokiamini kimepangwa na wanaume kadhaa ili aamini na sio God.
Nimeshawishika nikujibu hivi,,,ukristo ulianza b4 uislamu,so uislamu au Quran iliikop biblia baadhi ya verses na kuzibadili nakuzitia ktk Qur'an ndo maana unaona tofauti hapoulianzishwa miaka mia tano baada ya kristoHapa naomba ushahidi,ulianzishwa lini huo uislamu na huyo mke ni nani ?
Na Uislamu na Ukristo una fanana kwa yapi ?
Huyo pope alimfundisha nini mtume Muhammad ? Wapi na kwa muda gani ?
Andiko la "ufalme hauwezi kujifitini" linasema hivi:Title yangu inaeleweka vyema. Kwamba ufalme ukiwa sehemu hauwezi kukubali kutumia ili ujifitini kupata mshindani.
Sasa kwenye vitabu vitakatifu kuna sehemu kumeandikwa mungu wa dunia hii. Alafu humo humo humo kumeandikwa kwamba Mungu ni mmoja, muumba mbingu na dunia.
Ilikuwaje akakubali kuachia sehemu yake na kumuachia mungu mwingine ambaye anaandikwa kwa herufi ndogo (Shetani)
Ikikuwaje akamruhusu huyo mungu wa dunia hii awatese waja wake wakati imeandikwa kwamba Mungu hawezi kumjaribu mtu?
Ilikuwaje akakubali mwanae wa pekee apate mateso ya kiukweli pale msalabani?
Je! maandiko hayo tuendelee kuyaamini wakati kuna tetesi wale walioyatafsiri tayari wameanza kuonesha kuwa yana mapungufu?
Nionavyo mimi ni kwamba tulilishwa matango pori. Mungu yupo ila sio huyo anayehubiriwa!
Mchango wako unahitajika sana!
Uko sawa! Wasiwasi wangu ni pale ambapo Mungu ndo muumba kila kitu, alijua kabla kwamba shetani ni shetani tu kwa sababu anajua hata yale ambayo yatatokea baadaye.Andiko la "ufalme hauwezi kujifitini" linasema hivi:
Mathayo 12.25 Basi Yesu akijua mawazo yao, akawaambia, Kila ufalme ukifitinika juu ya nafsi yake,
hufanyika ukiwa; tena mji au nyumba yo yote ikifitinika juu ya nafsi yake, haitasimama.
Andiko hili halimaanishi kuna ufalme mmoja. Linamaanisha kuwa kila ufalme kivyakevyake hautaanzisha kwa makusudi mambo ambayo yataufanya uanguke. Ufalme wa Mungu hautafanya hivyo; wala ufalme wa shetani hautafanya hivyo; wala ufalme mwingine wowote.
Andiko linaaminika na lina mantiki kubwa tu. Shetani hawezi kuanzisha kundi LINALOMPINGA yeye NDANI YA UFALME WAKE. Akifanya hivyo, ufalme wake utaanguka. Kadhalika Mungu naye hawezi kufanyahivyo.
Ndiyo maana, kundi linaloinuka kutaka kuangusha ufalme huwa linapigwa.
Nimeshawishika nikujibu hivi,,,ukristo ulianza b4 uislamu,so uislamu au Quran iliikop biblia baadhi ya verses na kuzibadili nakuzitia ktk Qur'an ndo maana unaona tofauti hapoulianzishwa miaka mia tano baada ya kristo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mojawapo ni hiiHapa hujajibu swali mzee,ndio maana swali langu lina baki pale pale,na hapa nakuuliza tena "Ni yapi hayo ambayo uislamu ume copy kutoka katika ukristo ?"
Nasubiri jibu la swali hili na hayo mengine niliyo uuliza katika maoni uliyo ni quote hapo juu.