Hakuna timu kutoka Tanzania itakayovuka

Hakuna timu kutoka Tanzania itakayovuka

Ile damu iliopo ardhini bado inalia mpaka itendewe haki ndio mambo yatatulia.

Na mwakani mwendo ndio huuhuu

👽 AZAM OUT
👽SIMBA OUT
👽YANGA (CCM DEPARTMENT OF SPORTS) OUT
Yanga ni timu kubwa duniani

Ishinde au ishindwe yote sawa.
 
Young Africa anaongoza 3 bila, mtoa mada sijui utaludi kwenye uzi huu
 
Endapo itakuwa kinyume na usemavyo usituache wenyewe kwenye huu uzi Mkuu.
IMG_20260215_210207.jpg

Hamkujua mnacheza na timu mbili?? PUMBAVUUUU

CCM DEPARTMENT OF SPORTS OUT
 
Back
Top Bottom