Hali ngumu sema Mimi nimepewa msosi sahani moja mlima ishi na watu vizuriNimelala zangu geto hapa lakini hadi sasa hakuna hata sahani ya makande imeletwa. Nikikumbuka miaka ya huko nyuma muda kama huu ni hodi tu za kuletewa chakula. Sababu ni nini, hofu ya Mungu imepungua au hali ngumu ya uchumi?
Yule marehemu wako ameondoka na chakula. Iddi kaile kaburini kwake. Shenzi kweli, mtahangaika sana ila kila mnchojaribu kuleta tunakielewa vizuri. Watanzania wana akili kuliko nyie nyauNimelala zangu geto hapa lakini hadi sasa hakuna hata sahani ya makande imeletwa. Nikikumbuka miaka ya huko nyuma muda kama huu ni hodi tu za kuletewa chakula. Sababu ni nini, hofu ya Mungu imepungua au hali ngumu ya uchumi?
Inategemea una ishi nao vipi, binafsi kuna waislamu kama watatu majirani wamenoalika tangu jana,
Kumbe, ushanibatiza sio?Wewe ni muislam ualike sio kualikwa
Hali ngumu ya kimaisha, vyakula bei juu, mtu anaandaa bajeti ya kula yeye na familia yake tu. Tena anataka ale mpaka abakishe na baade ale na kesho asubuhi ale kiporo chake kwa chai siku ipite. Hicho chakula cha kugawa mpaka kwa jirani atakipata wapi? Siku hizi hakuna kualikana kama zamani, hata ndugu yako wa karibu hakualiki. Ubinafsi nao umetawala, cha mtu, cha mtu tu. Maisha yamebadilika ndio maana hata hizi sikukuu wengi wameanza kuzipuuzia na kuziona ni kero tu za kuvuruga fedha za maendeleo yao ya maana na kujitakia stress bure.
Unakaa salasala, mbweni, mbezi, mikocheni, isamilo, bwiru afu unasubiri sahani ya jirani? Kaa uswazi zipo badoNimelala zangu geto hapa lakini hadi sasa hakuna hata sahani ya makande imeletwa. Nikikumbuka miaka ya huko nyuma muda kama huu ni hodi tu za kuletewa chakula. Sababu ni nini, hofu ya Mungu imepungua au hali ngumu ya uchumi?