Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 3,128
- 6,121
Kwenye Maisha hata kuwe Kuna Jambo gumu Kwa MDA gani lazima litaisha na litapita.
Amini katika mchakato na Nguvu kuu (MUNGU)
Kwenye haya Maisha kila mtu hupitia changamoto zake na mara nyingi changamoto hizi hutofautiana.
Lakini katika asilimia kubwa ndugu hufelisha Sana mipango Ila hakuna kukata tamaa.
Usilale fofofo ruzuku itakwisha/
Utatembea hovyo kama Kuku aliyekatwa kichwa #FidQ ielewe mitaa.