Huaweiziko kiwangohabari zenu wana jamvi yani nilikuwa nina samsung yangu nzur mno j3 2016 kioo amoled kuna rafiki yangu akaipenda kwel na alikuwa anatumia tecno K7 ikambid anipe hiy tecno aniongeze na hela kidogo lakin kilichonikuta kwakwel najuta na hiy k7 ni mpyaa sanaaa na ina finger print cha ajabu ina stuck kukik maelezo na ina gb 16 na ram 1 gb kwakwel nikawa nimeingia mkenge nilikuwa sina raha nayo haina mvuto kabisa wala mzuka baada ya kuitumia kam wiki mbil nikawa nimeichoka mno mambo yake ikanibid niiuze kwa elfu 80 hata sikujiuliza ninawaomb wanajamvi kama kuna mtu ana mpango wa kununua tecno hii k7 ni simu isiyo na kiwango narudieni tena tecno ni simu mbovu na majanga sijapata kuona nawasilisha
Usizifie kitu usichojua kam toka uzaliwe umetumia tecno tumia hizo hiz ndo saiz yako kwa upeo wa mawazo yakk utaziona za maan wauliz wanaozielewa simu hata hao wanaoouza madukan humkut anatumia tecno najuta kuingizwa mkengeSijaona ubaya wake, Sana sana wewe ndo nakuona mshamba wa kutumia cm.
Nimetumia miaka na miaka, kama hujui kutumia cm usiseme ni mbovu... pye
Yaani we unabadili unapewa Tecno ye unampa Samsung hauko siliasi hata kidogo aisee.........Tecno ni simu mbovu ambayo ukinipa hata bure sichukuihabari zenu wana jamvi yani nilikuwa nina samsung yangu nzur mno j3 2016 kioo amoled kuna rafiki yangu akaipenda kwel na alikuwa anatumia tecno K7 ikambid anipe hiy tecno aniongeze na hela kidogo lakin kilichonikuta kwakwel najuta na hiy k7 ni mpyaa sanaaa na ina finger print cha ajabu ina stuck kukik maelezo na ina gb 16 na ram 1 gb kwakwel nikawa nimeingia mkenge nilikuwa sina raha nayo haina mvuto kabisa wala mzuka baada ya kuitumia kam wiki mbil nikawa nimeichoka mno mambo yake ikanibid niiuze kwa elfu 80 hata sikujiuliza ninawaomb wanajamvi kama kuna mtu ana mpango wa kununua tecno hii k7 ni simu isiyo na kiwango narudieni tena tecno ni simu mbovu na majanga sijapata kuona nawasilisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaka sijawah kutumia tecno ndo mara ya kwanza kwa muonekano wake nilijua ni kitu cha ukwelYaani we unabadili unapewa Tecno ye unampa Samsung hauko siliasi hata kidogo aisee.........Tecno ni simu mbovu ambayo ukinipa hata bure sichukui
Huyo ashatumia Tecno tu hajawahi tumia simu nyingine kwa hiyo hawezi kujua uzuri wa hizo zingineUsizifie kitu usichojua kam toka uzaliwe umetumia tecno tumia hizo hiz ndo saiz yako kwa upeo wa mawazo yakk utaziona za maan wauliz wanaozielewa simu hata hao wanaoouza madukan humkut anatumia tecno najuta kuingizwa mkenge
Huna lolote hujui tu kutumiaUsizifie kitu usichojua kam toka uzaliwe umetumia tecno tumia hizo hiz ndo saiz yako kwa upeo wa mawazo yakk utaziona za maan wauliz wanaozielewa simu hata hao wanaoouza madukan humkut anatumia tecno najuta kuingizwa mkenge
Si ndio kabisa alafu anakuja hapa kutetea upuuzi wakati mm pia nimeitumia na ni majanga na ililuwa mpya k7 imetok mwaka jana mwishoni wew miaka mwili umeipatia wapi ya kwako kam sio ushamba ndo wakeHuyo ashatumia Tecno tu hajawahi tumia simu nyingine kwa hiyo hawezi kujua uzuri wa hizo zingine
Shika adabu yakoTeCno simu ya walimu
Mimi nina hiyo Samsung J3 nikuuzieeYaani we unabadili unapewa Tecno ye unampa Samsung hauko siliasi hata kidogo aisee.........Tecno ni simu mbovu ambayo ukinipa hata bure sichukui