Dr anakijenga chama au anakibomoa,watanzania wa leo wana matatizo luluki,umeme gharama juu,wafanyakazi wa serikali mushaara inachelewa,kwa hiyo ni busara kutumia pesa ya chama kwa ajili ya kumdhalilisha Zitto?kama anakijenga chama alikuwa wapi siku zote?siasa uchwara hizi za visasi azitusaidii,red brigedi ya kigoma ya nini?Wana kigoma wanamshukuru Zitto barabara za lami kila upande,uwanja wa ndege,nyumba za NSSF n.k