Ina karaha zake siyo ukiitwa mume uchekecheke tu ujue unatakiwa kuhudumia huyo anayekuita mumehabari zenu wanaukumbi,naamini mnaendelea vizuri kulea ndoa zenu na mahusiano yenu japo mengine yanayumbayumba ila mnavumiliana.Hongera zenu.
Hujui unachopenda dogo. Mume sio jina tu, ni mahujumu...habari zenu wanaukumbi,naamini mnaendelea vizuri kulea ndoa zenu na mahusiano yenu japo mengine yanayumbayumba ila mnavumiliana.Hongera zenu.
Hahaha...