Toosweet
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 2,141
- 1,982
Salaam Wanajamvi,
Sio siri tena kwamba kuna uhaba wa chakula nchini.Ukitembelea mikoani utaupata ukweli.Wanyama kama ng'ombe na wanyama wa porini wanakufa kwa kukosa maji na malisho.Kitu cha kushangaza na kusikitisha ni kuwa Mh.Rais na mawaziri,wakuu wake wa mikoa wanashindana kukanusha.Wanasema chakula kipo ila bei tu ndio zimepanda.Kanuni rahisi ya uchumi ni kuwa,kikiwa na upungufu wa bidhaa bei huongezeka.Wanaobisha kwamba hakuna njaa hawasemi kwa nini bei za nafaka zimepanda.Sijui tukifika Machi itakuwaje.