Hakuna nchi ya ajabu kama tz...,

fiter

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
1,144
78
vijana wameamua wajiajiri na bodaboda zao eti wanazuiwa wasifike mjini au baadhi ya maeneo..,hvi serikali haioni hakuna ajira vijana wamejiajiri bado mnawafuatilia, bado wamachinga. Mama lishe wanavyosumbuliwa nyie viongozi wa manispaa, jeshi la polisi na serikali ya ccm mna akili gani?...
 
Hiyo inaitwa tz mama. Inakataza kitu badala ya kuwatafutia kwanza cha kufanya ndio wawakataze wenyewe wanapiga marufuku utajua mwemyewe
 
bora watu wawe majambazi na wamwagia watu tindikali.....
 
Kwani wamekatazwa kufanya biashara yao hao bodaboda au wameambiwa wasiingie mjini? Mbona kuna maeneo mengi tu wanaweza na wanafanya kazi kama kawaida?

Watz kila siku kulalamika tu na hatupendi kufuata sheria. Hata ukiambiwa usifanye biashara katika eneo hili basi ndiyo utakwenda kuweka biashara yako hapo hapo.
 
Mkuu bila boda boda watu watafikaje mjini...?amna magari wamama asubuhi wanahangaika na ndoo zao wanashindwa kufika feri akuna magari...yote ni kumtegenezea UDA biashara.
 
KWA AKILI YAKO NDOGO NA KUTOKUA NA UELEWA UNAFIKIRI WATU WENGI WANAOTUMIA BODABODA NA PIKIPIKI WAKO WAPI? SI MJINI...NA WENGI WANAPENDA KU2MIA ILI WAWAHI NA KUKWEPA FOLENI HAYO MAENEO UNAYOSHABIKIA WAHAMISHIWE WATAFANYA BIASHARA NA WATEJA WAPI?..poor thinking..,FOOLISH WEWE
 
vijana wameamua wajiajiri na bodaboda zao eti wanazuiwa wasifike mjini au baadhi ya maeneo..,hvi serikali haioni hakuna ajira vijana wamejiajiri bado mnawafuatilia, bado wamachinga. Mama lishe wanavyosumbuliwa nyie viongozi wa manispaa, jeshi la polisi na serikali ya ccm mna akili gani?...

Kuna wimbo wa IZZO BUSINESS,corus weka UDA UDA UDA UDA
 
Mtaburuzwa mpaka mkome. Serikali inalinda maslahi ya watu wachache. Nyie wengine kafieni mbele. Mnyonge, masikini hana haki kabisa ndani ya Tanzania ya leo.
 
KWA AKILI YAKO NDOGO NA KUTOKUA NA UELEWA UNAFIKIRI WATU WENGI WANAOTUMIA BODABODA NA PIKIPIKI WAKO WAPI? SI MJINI...NA WENGI WANAPENDA KU2MIA ILI WAWAHI NA KUKWEPA FOLENI HAYO MAENEO UNAYOSHABIKIA WAHAMISHIWE WATAFANYA BIASHARA NA WATEJA WAPI?..poor thinking..,FOOLISH WEWE

Nashangaa ni nani kati yetu mwenye akili ndogo na foolish kama ulivyoandika mwenyewe.

Ndiyo maana mukaambiwa muna IQ ndogo halafu munashangaa. Jaribu kutafakari jambo kwa marefu na mapana na siyo kufunika kichwa ukawacha mkia nje.
 
wewe kaka unaonekana ni PUNGA unapingana na kitu ambacho kipo wazi kabisa
 
unasema hakuna nchi ya ajabu kama tz duniani ,,acha kusema uongo kijana hata kwenye maajabu 7 ya dunia hamna sasa tz ipo dunia ipi wewe,
 
Mkuu bila boda boda watu watafikaje mjini...?amna magari wamama asubuhi wanahangaika na ndoo zao wanashindwa kufika feri akuna magari...yote ni kumtegenezea UDA biashara.

acha kulialia,,mtoto wa kiume wewe. Seek for solution.
 
Watu wa Dar ni wa ajabu sana...nu waoga. Pikipiki zimezuiwa kuingia mjini bila sababu maalumu, hao hao viongozi walipoulizwa walijiumauma tu. Wote mikia chini...wanadar wamefyata.
Ni jana tu pale Mtwaradhuluma ya polisi na manyanyaso ya namna hii yamedhitiwa na wale bodaboda. Mji mzima kilinuka hadi mkuu wa wilaya na OCD wamekaa nao kikao cha takribani masaa ma3 kufikia muafaka.
Wanadar amkeni, bodaboda ni ajira tosha kwa vijana. Mnalisha familia zenu.Mjini ndo kila kitu sio mnaensesha bosa kisukulu tu.
 
vijana wameamua wajiajiri na bodaboda zao eti wanazuiwa wasifike mjini au baadhi ya maeneo..,hvi serikali haioni hakuna ajira vijana wamejiajiri bado mnawafuatilia, bado wamachinga. Mama lishe wanavyosumbuliwa nyie viongozi wa manispaa, jeshi la polisi na serikali ya ccm mna akili gani?...

Umbumbu wetu watanzania ndio utaendelea kututoa kamasi, hayo ni maandalizi ya mwekezaji wa bus yaendayo kasi
 
Nashangaa ni nani kati yetu mwenye akili ndogo na foolish kama ulivyoandika mwenyewe.

Ndiyo maana mukaambiwa muna IQ ndogo halafu munashangaa. Jaribu kutafakari jambo kwa marefu na mapana na siyo kufunika kichwa ukawacha mkia nje.

Ungekuwa na busara usingejibu kwn jamaa kakudhihirishia usivyo na upeo wa kufikiria,
 
Ulikuwa hujui?

Tanzania ni nchi pekee ambayo WEZI wa mabilioni wanaiba halafu 'wanaombwa' wazirudishe wenyewe!!!!
 
Back
Top Bottom