Hakuna nchi ya ajabu kama tz...,

Hakuna nchi ya ajabu kama tz...,

vijana wameamua wajiajiri na bodaboda zao eti wanazuiwa wasifike mjini au baadhi ya maeneo..,hvi serikali haioni hakuna ajira vijana wamejiajiri bado mnawafuatilia, bado wamachinga. Mama lishe wanavyosumbuliwa nyie viongozi wa manispaa, jeshi la polisi na serikali ya ccm mna akili gani?...

Serikali sikivu inatekeleza ilani ya uchaguzi juu ya maisha bora kwa kila mtanzania, huku ikiwajali sana wawekezaji ,ni bora wafe watanzania 100 kuliko kumpoteza muwekezaji mmoja. Baada ya uchaguzi 2015 wakulima wote wazawa hasa wadogo watalazimika kulipa kodo, na mazao yao ni marufuku kuuza nje yaozee kwenye maghala kama mpunga unavyo oza mwaka huu kufuatia kupiga marufuku kuuza mchele nchi za jirani.
 
Back
Top Bottom