Hakuna namna. Ni vita tu!

Hakuna namna. Ni vita tu!

tubalayya

Member
Joined
Apr 16, 2010
Posts
69
Reaction score
105
Kwa wanaofuatia kwa karibu, Rasi wa Marekani Donald Trump, kwa kweli hakuitaka hii vita dhidi ya Iran. Si kwa sababu ghafla amegeuka Baba Mtakatifu, la, bali timing si muwafaka kabisa kwake. Mwishoni mwa mwaka atatakiwa kwenye kura aonekane bado ana ushawishi, la sivyo atamaliza miaka miwili iliyobaki kama 'bata mlemavu'. Vita na Iran si shughuli ndogo, anajua hivyo. Ndiyo maana asingependa kuiingia akiwa hana uhakika.

Lakini, maskini Trump! Uamuzi wa hilo si wake, ni wa Bibi Netanyahu. Netanyahu anaitaka sana vita hii kwa sababu mbili muhimu~ kesi yake ya ulaghai inayomkabili, na la muhimu zaidi, inabidi kumalizana na Iran haraka wakati Trump bado yupo madarakani. Hakutakuja rais mwingine pliant kama yeye; kwani amemshika pabaya katika kashfa za Epstein. Vile vile Marekani inabadilika haraka sana, takrban asilimia 80 ya vijana hawataki tena utumwa wa nchi yao kwa Israel.

Ndiyo maana kila maskini Trump anapoonesha kulegeza kamba katika majadiliano ya Geneva na Iran, anapokea simu kutoka kwa Bibi arudi kwenye msitari! Majadiliano wiki jana yalisimama katika muwafaka kuwa Iran iruhuhusiwe kusimamisha urutubishaji wa urani kwa miaka mitatu. baada ya muda huo iruhusiwe kurutubisha lakini kwa asilimia 1 na nusu tu. Iran ilikubali kwa kuwa ingependa kuepusha vita, ingawaje sheria ya Kimataifa inamruhusu kurutubisha kiasi chochote chini ya asilimia 90 ambacho ndiyo kiwango cha kutengeneza bomu.
Pia sababu nyingine haina haja.
Marekani nayo ilikubali kuondoa vikwazo vichache kwa Iran. Yalikuwa si maafikiano bora sana kwa Iran, lakini heri ndege mmoja uliye naye kiganjani kuliko kumi mwituni!

Ebo! Ujumbe wa Marekani kuingia tu kikao cha wiki hii ukaiambia Iran makubaliano ya wiki iliyopita hayapo tena na kwamba makubaliano pekee yatakayokubalika sasa ni Iran kusimamisha kabisa urutubishaji wa urani, kuteketeza mitambo yote, urani iliyokwisharutubishwa ikabidhiwe kwa Marekani, zaidi ya hapo, makombora yoote ya Irani ya kujihami yabomolewe isipokuwa yale yenye masafa ya kilomita 300 pekee! Iran hivi sasa ina hadi kilomita 3,000. Haya yana uwezo wa kufika nchi zote za Ghuba ya Uajemi zenye vituo vya kijeshi vya Marekani, Israel.... na hata nchi kama Greece na Italy, pia kisiwa cha Diego Garcia, kwenye maghala ya silaha za Marekani na kituo kikubwa cha kijeshi.

Iran imepewa wiki mbili la sivyo. Acha Iran, serikali yoyote duniani haiwezi kukubali masharti kama hayo ambayo, hata Shirika la UN la kudhibiti kutapakaa kwa silaha za nuklia, haikuweka.
Ni vita. Iran itabomolewa sana; Marekani ndiye Mkuu wa kivita duniani, lakini....itawashangaza wengi!
 
Usijichoshe na mikwara a mbuzi, hakuna vita hapo
 
Kwa wanaofuatia kwa karibu, Rasi wa Marekani Donald Trump, kwa kweli hakuitaka hii vita dhidi ya Iran.
Iran imepewa wiki mbili la sivyo. Acha Iran, serikali yoyote duniani haiwezi kukubali masharti kama hayo ambayo, hata Shirika la UN la kudhibiti kutapakaa kwa silaha za nuklia, haikuweka.
Ni vita. Iran itabomolewa sana; Marekani ndiye Mkuu wa kivita duniani, lakini....itawashangaza wengi!
Kuna mambo mengi ndani ya mada yako yanapingana yenyewe!

Binafsi nasema hivi, unapoona mikanganyiko na mihangaiko ya wakubwa kama ilivyo sasa, ujuwe duniani kuna mabadiliko makubwa yanayowatisha sana; mabadiliko wasiyokuwa na uwezo juu yake

Kile kijamaa cha Korea Kaskazini, umekisikiliza siku za hivi karibuni na "Workers Party" yao?

Njia za kuwatawala wengine zinazidi kubanana; itabaki Afrika tu, ndiko tutaendelea kuwa misukule ya wengine; hasa tunapokuwa hata namna ya kusoma mambo mazito kunatuwia vigumu kama haya yaliyoelezwa ndani ya mada.
 
Kwa wanaofuatia kwa karibu, Rasi wa Marekani Donald Trump, kwa kweli hakuitaka hii vita dhidi ya Iran. Si kwa sababu ghafla amegeuka Baba Mtakatifu, la, bali timing si muwafaka kabisa kwake. Mwishoni mwa mwaka atatakiwa kwenye kura aonekane bado ana ushawishi, la sivyo atamaliza miaka miwili iliyobaki kama 'bata mlemavu'. Vita na Iran si shughuli ndogo, anajua hivyo. Ndiyo maana asingependa kuiingia akiwa hana uhakika.

Lakini, maskini Trump! Uamuzi wa hilo si wake, ni wa Bibi Netanyahu. Netanyahu anaitaka sana vita hii kwa sababu mbili muhimu~ kesi yake ya ulaghai inayomkabili, na la muhimu zaidi, inabidi kumalizana na Iran haraka wakati Trump bado yupo madarakani. Hakutakuja rais mwingine pliant kama yeye; kwani amemshika pabaya katika kashfa za Epstein. Vile vile Marekani inabadilika haraka sana, takrban asilimia 80 ya vijana hawataki tena utumwa wa nchi yao kwa Israel.

Ndiyo maana kila maskini Trump anapoonesha kulegeza kamba katika majadiliano ya Geneva na Iran, anapokea simu kutoka kwa Bibi arudi kwenye msitari! Majadiliano wiki jana yalisimama katika muwafaka kuwa Iran iruhuhusiwe kusimamisha urutubishaji wa urani kwa miaka mitatu. baada ya muda huo iruhusiwe kurutubisha lakini kwa asilimia 1 na nusu tu. Iran ilikubali kwa kuwa ingependa kuepusha vita, ingawaje sheria ya Kimataifa inamruhusu kurutubisha kiasi chochote chini ya asilimia 90 ambacho ndiyo kiwango cha kutengeneza bomu.
Pia sababu nyingine haina haja.
Marekani nayo ilikubali kuondoa vikwazo vichache kwa Iran. Yalikuwa si maafikiano bora sana kwa Iran, lakini heri ndege mmoja uliye naye kiganjani kuliko kumi mwituni!

Ebo! Ujumbe wa Marekani kuingia tu kikao cha wiki hii ukaiambia Iran makubaliano ya wiki iliyopita hayapo tena na kwamba makubaliano pekee yatakayokubalika sasa ni Iran kusimamisha kabisa urutubishaji wa urani, kuteketeza mitambo yote, urani iliyokwisharutubishwa ikabidhiwe kwa Marekani, zaidi ya hapo, makombora yoote ya Irani ya kujihami yabomolewe isipokuwa yale yenye masafa ya kilomita 300 pekee! Iran hivi sasa ina hadi kilomita 3,000. Haya yana uwezo wa kufika nchi zote za Ghuba ya Uajemi zenye vituo vya kijeshi vya Marekani, Israel.... na hata nchi kama Greece na Italy, pia kisiwa cha Diego Garcia, kwenye maghala ya silaha za Marekani na kituo kikubwa cha kijeshi.

Iran imepewa wiki mbili la sivyo. Acha Iran, serikali yoyote duniani haiwezi kukubali masharti kama hayo ambayo, hata Shirika la UN la kudhibiti kutapakaa kwa silaha za nuklia, haikuweka.
Ni vita. Iran itabomolewa sana; Marekani ndiye Mkuu wa kivita duniani, lakini....itawashangaza wengi!
Huujui ukweli, hata trump hajui kwa Nini anaipiga Iran na Wala nyetanyau hausiki.
Jibu ni hili "muda umewadai yeye ajaye anatakiwa ashukie Jerusalem na ali aqsa ndio hekalu lake haswa"
 
Uwezo wa Iran unakuzwa sn kuliko uhalisia vita haipiganwi kwenye vijiwf vya kahawa na majamui ya mskitini svbirini muone moto wake hata Sadam mwaka 1990 na 2003 alikuwa na tambo km hizi hizi..
 
Back
Top Bottom