Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

lara 1 seems like unaishi kwenye imaginative world!!!!!!!!!!inabidi ifikie wakati ukubaliane na hali halisi ya maisha,inaonyesha kichwani mwako unafikiria utakuwa mzuri forever!!!!!!!!!!!!!!!!NO big NO lara 1 uzuri una mwisho utazeeka na licha ya kuzeeka ngomaa iklia sana mwishowe hupasuka,vitoto vizuri vinazaliwa kucha na wanaume nao tamaa zinaongezeka kila kukicha so angalia sana hao wanaokupa kichwa kuwa u mzuri sana itafikia wakati watakuona old fashioned na kustick na kudraw attention yao kwa vipya vinayoibuka,that's life lara 1 uzuri unaexpire,na kila kitu au mtu ana wakati wake wa kuvuma,usishangae itafikia wakati wewe ndo utakuwa unatafuta attention ya lazima kutoka kwa wanaume unaowaona wewe kuwa wa maana na wale ambao unawadespise kwa wakati huo wao ndio wanaanza kukuzukia na kukutetemekea!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!watch out lara 1 you have overconfidnce of your beuty,congratulations for you being blessed with a wonderful beuty but watch out hata mzee hajijui kuwa kazeeka mpaka pale atakapoona kuwa hawezi tena kufanya mambo aliyoyazoea kuyafanya hapo zamani!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Naunga mkono mada hii kwa sana tu. Mke wangu ndo kila kitu kwang na namin yeye ndo mzur na mtamu kuliko woooooote kwa kila jambo coz nilimchagua mwenyewe bila shurut na nkaridhika kwamba ananifaa kabisa. Nampenda sana mke wangu mpenzi

Ubarikiwe sana mkuu ....!!!!!!!!!!
 
Cha kusikitisha wengi wenu hamthamini hayo yote. Nlisikitika majuzi kwenye daladala mkaka anamjibu mkewe ovyo. Kaulizwa yuko wapi anamjibu eti ' Niko mbinguni'! Ndo mana mnapataga laana za wake zenu afu mnadai eti wana mikosi!

Dah .......!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Khaah!! Nakutamani ujueee!!salute
 
Thread kama hii mabazazi kama Asprin, Mtambuzi, KakaKiiza, Kaizer na Vin Diesel huwa hawafikagi...ngoja niwaite!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hahahahah

Nioke mke mzuri mi sina akili? Yani nioe presha?

Hawa wazuri ni wa kujitafutia raha za dunia. Unaipa raha ile kitu moyo unapenda then unarudi kwa mkeo kujenga familia. Tooop
 
Last edited by a moderator:
Who said "Hakuna mwanamke mzuri zaidi ya mkeo"

Haya kama wewe tuambie mwanamke mzuri maana yake nini?

Ni mzuri kwa vipimo vya aliyemuoa ndio maana akamuweka ndani awe mke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…