Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

Kumsifia mtu ka sifa zinazomshushia heshima mkeo haikubaliki
Na hiki ndicho ninachokisema hapa..!!!!

Ok... but tukubaliane kuwa nikiona mwanamke mwenye bambataa nzuri nikasema ..."dah, aisee chek yule dem alivyojaaliwa.. duh, ebanaee"... bado nitakuwa sijamvunjia mke wangu heshima, sio..m
 
Eiyer Like like

wanaume kama vile wakienda restaurant pale wanapoagiza wakiona mwenzake kaagiza anaona kizuri kuliko alichoagiza yeye...

Usijali Blaki Womani nipo hapa baba paroko kwaajili ya kurekebisha ndoa zenu
Nitahakikisha ule upendo wa zamani wakati mnaoana unarudi ....!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Testosterone! more women "appetite", more confidence, more risk appetite, more success ....??
 
Ok... but tukubaliane kuwa nikiona mwanamke mwenye bambataa nzuri nikasema ..."dah, aisee chek yule dem alivyojaaliwa.. duh, ebanaee"... bado nitakuwa sijamvunjia mke wangu heshima, sio..m

Kitendo cha kusema "ebanaeee" ni ishara ya kutamani ....!!!!!!!!!
 

Asante kwa kuwakumbusha wanaume woooote out there, ila najua wako busy na miwani ya mbao, kuona kwao ni mwisho wa usawa wa pua tu....
 
uzi wa wenye wake zao....mie nije kufanyaje....wangesema hakuna wazuri kuliko vimada wako ningeweka kambi hapa....

hahahhaha but u wish to have one siku mija ama huyo kimada awe mke so watuhusu wote. Take maexperience b4 hujatinga ndani ujue rasmi unaingiaje ili usitamani na uwe makini kuchagua mwenzi wa maisha mwenye sifa zote ama almost zote unazotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…