Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

Yaani baba Paroko umeona picha yangu ndio inastahili kukaa hapo kwa wapitaji?
Haya itoe upesi

Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaa!!!!!!!!

Unatafuta "dili" eehhhhh??

Wewe picha yako halisi hii hapa
 
Much Respect Brother!!! mkeo ana raha sana.
naunga mkono hoja 100%
 
Kila mtu anataka kuoa wife material cku hizi, sasa hiyo ishu ya kuwagroup wengine kama sio wife material inamaana wao wameumbwa wasiolewe?

Mtu hachaguliwi kuwa au kutokuwa wife material ila yeye mwenyewe na tabia zake ...!!!!!!!!
 
Umenena vema, umekosea sana pale uliposema, 'Unaikumbuka sana siku ile ya ndoa yenu'.
Btw, siku hizi ndoa ni fomalitis.
Wapo binadamu katikati ya ndoa wanawakumbuka wapenzi wao wa outside!

Siku ya ndoa unapoikumbuka inakuwa inakupa hisia na kukumbuka namna ulivyoapa mbala ya watu kuwa huyo ndie mkeo
Unakuwa unapata hisia na unaweza kuanza kumuona kama mpya tena!!
 

yah wakati mwingine mnatusaidia sana kwa hizi post zenu BE BLESSED
 
Wewe unahitaji maombi kwa kweli,hah!!
Ila nimempenda bure na hiyo afya ya kutosha

Maombo unahitaji wewe na minyama yako hiyo...!!!!!!!!
 
Bora muwe mnakumbushana na masuala haya pia.....maana duh!!!!!

jamiif
Sio hivyo. Sema bora tuwe tunakumbushana. Wanawake wengine bana nao wanawatamani waume za watuuu. Mwanamke unamwangalia mume wa mwenzio kwa jicho la mla kungu. Mpaka mwanaume anajiuliza kama huyu ndivyo anavoangakiaga si atagongwa na gari. Mpaka jicho linakuwa kama umelala. Tubadilike. Jitahidi usinitie majaribuni dada ili tupone hili lidhambi.
 

asante Eiyer kwa kugusa kunako
hao wanaume wakodoaji kwa nini wasiwamake
wake zao wakawa kama wanavyotaka?hakuna
mwanamke mbaya duniani,mwanamke matunzo tu!!

Kweli kabisa bibie .........
Hebu tuache tabia za hovyo .....!!!!!!!!!
 
Eiyer... mke wangu kuwa mzuri hainiondoi ufahamu wa kutambua wazuri wengine. Kusema sio kutenda...

Kumsifia mtu ka sifa zinazomshushia heshima mkeo haikubaliki
Na hiki ndicho ninachokisema hapa..!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…