Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

thread nzuri mkuu kiukweli tunahitaji mada kama hizi hili kujenga hili jukwaa kiukweli HAKUNA MWANAMKE MZURI KAMA MKEO WAKO jifunze kumheshimu over!!!
 
thread nzuri mkuu kiukweli tunahitaji mada kama hizi hili kujenga hili jukwaa kiukweli HAKUNA MWANAMKE MZURI KAMA MKEO WAKO jifunze kumheshimu over!!!

haswaa! Siyo zile cjui vikojoleo vifupi cjui mimba ya nani aaagh bora nimepumua leo !? Khaa!
 
Yah Its absolute true,we need to respect and take a good care of our wifes
 
Wacha baba paroko niwahusie wasije wakaanguka dhambini ....!!!!!!!!!

Yaani baba Paroko umeona picha yangu ndio inastahili kukaa hapo kwa wapitaji?
Haya itoe upesi
 
Ujumbe umetulia Mkuu!I believe mwanamke wa kuolewa anatakiwa awe na sifa zaidi ya uzuri wa umbo lake la nje!
 
Umenena!
Mimi nampenda mke wangu,
hapa nilipo nasema, mke wangu anaandika. halafu kwa pamoja tunacrik ok! Kutuma comment yetu. Da.! Tunapendana hadi raha.
 
Ila kumbuka kutokana na takwimu za nchi nyingi nigeria ikiwa mojawapo idadi ya wanaume ni ndogo kuliko ya wanaume. Nimeona katika mji fulani wanawake nchini nigeria wameeandamana wakidai serikali iweke mpango madhubuti ili nao waolewe, nadhani hili ni tatizo ambalo hata tanzania lipo, sasa sijui tuwasaidie vipi kina dada zetu ambao wanapenda kuolewa na hakuna wanaume wa kuwaoa. Actually ni changamoto na kama hivyo mtoa mada anasema tuwapende wake zetu, hawa wasio na wanaume waende wapi? Dunia bado inazidi kuwafanya wanawake wawe wanyonge.
 
Eiyer... mke wangu kuwa mzuri hainiondoi ufahamu wa kutambua wazuri wengine. Kusema sio kutenda...
 
Last edited by a moderator:

Na bigup kwa Maulana kwa kuumba wazuri zaidi na zaidi kila siku...
 
Kulikuwa na haja gani ya ku quote mada nzima ndugu yangu??

BACK TO TOPIC
Kama hakuna aliyekamilika huyo unaemtamani nae si hajakamilika?
Unakuwa unaongeza tatizo au unapunguza?
mpe maneno, lol
 
Natamani haya maneno wangesikia wanaume wote waliopo kwenye ndoa na wayafanyie kazi kwa vitendo
 
Kaka Eiyer umenena vema na lara 1 kawaambia ukweli wanaume wote, Jamani fungukeni hizo akili zenu mlizofungwa mjue ukweli wa mambo na uhalisia wa mambo. they don't care a bit but we do love u our husbands.
 
Last edited by a moderator:

Mimi nawapenda wanawake zangu wote 3 kwa dhati kabisa,

Hawa ndio niliochagua kati ya hao bil 3 uliyosema,
Hawa ndio nimechagua wanipikie chakula,
Hawa ndio nimechagua wanipe huduma zote.

Je, unahisi siwatendei haki???? Eiyer

 
Umenena!
Mimi nampenda mke wangu,
hapa nilipo nasema, mke wangu anaandika. halafu kwa pamoja tunacrik ok! Kutuma comment yetu. Da.! Tunapendana hadi raha.

hahahaha duh kwel mnapendana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…