Binadamu walibadilika kutoka spishi ya sokwe mpaka kuwa homo sapiens.........Dunia haina mwisho kwa maana kwamba siku ya kiama (heaven and hell).
Dunia itaendelea kuwepo barafu zitayeyuka milima itaongezeka spishi zitakufa na nyingine kuzaliwa hata binadamu watabadilika taratibu sana kuwa kitu kingine au hata kufa kabisa kama ilivyokuwa kwa dinosaur mazingira yalivyomshinda moja kwa moja, hakuna siku ya kiama
Haya mabadiliko ni asili ambayo ilikuwepo ipo na itaendelea kuwepo lakini.... kama teknolojia haitaingilia kati. Binadamu walibadilika kutoka spishi ya sokwe mpaka kuwa homo sapiens. Watu watakataa lakini haya mambo ya mabadiliko yapo na yataendelea kuwepo na haya mabadiliko hutokea tarabibu sana kiasi ambacho kugundua ni ngumu leo hii binadamu asilimia 35 tu duniani wanakunywa maziwa 65 hawanywi kwasababu binadamu wa zamani walikuwa wakimaliza tu kunyonya hawezi tena kunywa maziwa kwa sababu ya virutubisho vyake na sukali. Lakini mabadiliko yaliyopo sasa ni meno ya binadamu 32 yanapunguwa kuweka nafsi ya maziwa mdomoni.
Hii asili ya mabadiliko ipo na itaendelea kuwepo lakini pia hatuwezi kusahau kuzungumzia sayansi na teknolojia
Teknolojia pia sasa inaenda kukamata rimoti ya asili ya mabadiliko hivi sasa binadamu wanampango wa kupandikiza chip ifanye kazi pamoja na ubongo wako yani wewe unakuwa unaweza kuongea karibia lugha zote hii imetokana na mchanganyiko wa watu mbali mbali duniani sasa hii kitu pengine ingekuja kuwezekana huko miaka ya mbele lakini teknolojia imetake place chapu, sasa teknolojia imeweza kuwabadili mbu waziwe kuambukiza maralia
Sema hapa kwenye teknolojia kuna swali ambalo mpaka sasa linaonekana ndio shida kwamba tutajiharibu au ndio itakuwa sawa?
Asante na kwaheri
Hahahhaha ukatili huo mkuuBinadamu walibadilika kutoka spishi ya sokwe mpaka kuwa homo sapiens.........
Nilivyosoma hiyo sentensi ndio nikaacha na kuusoma na uzi wenyewe.
Tukiachana na masuala ya dini na imani, naona kama mwisho wa Dunia upo. Kwa ushahidi wa mazingira kila kitu kinachotumia energy kama mawe, viumbe hai, mimea n.k vinaexist kwenye mfumo wa order to disorder ni muda tu ndo unatofautiana meaning kuna uwezekano hili dude linaitwa Dunia na lenyewe linachakaa.Dunia haina mwisho kwa maana kwamba siku ya kiama (heaven and hell).
Dunia itaendelea kuwepo barafu zitayeyuka milima itaongezeka spishi zitakufa na nyingine kuzaliwa hata binadamu watabadilika taratibu sana kuwa kitu kingine au hata kufa kabisa kama ilivyokuwa kwa dinosaur mazingira yalivyomshinda moja kwa moja, hakuna siku ya kiama
Haya mabadiliko ni asili ambayo ilikuwepo ipo na itaendelea kuwepo lakini.... kama teknolojia haitaingilia kati. Binadamu walibadilika kutoka spishi ya sokwe mpaka kuwa homo sapiens. Watu watakataa lakini haya mambo ya mabadiliko yapo na yataendelea kuwepo na haya mabadiliko hutokea tarabibu sana kiasi ambacho kugundua ni ngumu leo hii binadamu asilimia 35 tu duniani wanakunywa maziwa 65 hawanywi kwasababu binadamu wa zamani walikuwa wakimaliza tu kunyonya hawezi tena kunywa maziwa kwa sababu ya virutubisho vyake na sukali. Lakini mabadiliko yaliyopo sasa ni meno ya binadamu 32 yanapunguwa kuweka nafsi ya maziwa mdomoni.
Hii asili ya mabadiliko ipo na itaendelea kuwepo lakini pia hatuwezi kusahau kuzungumzia sayansi na teknolojia
Teknolojia pia sasa inaenda kukamata rimoti ya asili ya mabadiliko hivi sasa binadamu wanampango wa kupandikiza chip ifanye kazi pamoja na ubongo wako yani wewe unakuwa unaweza kuongea karibia lugha zote hii imetokana na mchanganyiko wa watu mbali mbali duniani sasa hii kitu pengine ingekuja kuwezekana huko miaka ya mbele lakini teknolojia imetake place chapu, sasa teknolojia imeweza kuwabadili mbu waziwe kuambukiza maralia
Sema hapa kwenye teknolojia kuna swali ambalo mpaka sasa linaonekana ndio shida kwamba tutajiharibu au ndio itakuwa sawa?
Asante na kwaheri
Dunia inakadiriwa itaendelea kuwepo kwa miaka bilioni 5 ijayo ndipo itachomwa na jua na kusambaratika kabisa. Miaka bilioni 1 ijayo ndio inakadiriwa itakuwa haiwezi kusapoti tena viumbe hai vilivyo complex kama binadamu.Tukiachana na masuala ya dini na imani, naona kama mwisho wa Dunia upo. Kwa ushahidi wa mazingira kila kitu kinachotumia energy kama mawe, viumbe hai, mimea n.k vinaexist kwenye mfumo wa order to disorder ni muda tu ndo unatofautiana meaning kuna uwezekano hili dude linaitwa Dunia na lenyewe linachakaa.
Miaka b ni mingi.Dunia inakadiriwa itaendelea kuwepo kwa miaka bilioni 5 ijayo ndipo itachomwa na jua na kusambaratika kabisa. Miaka bilioni 1 ijayo ndio inakadiriwa itakuwa haiwezi kusapoti tena viumbe hai vilivyo complex kama binadamu.
Dunia haina mwisho kwa maana kwamba siku ya kiama (heaven and hell).
Dunia itaendelea kuwepo barafu zitayeyuka milima itaongezeka spishi zitakufa na nyingine kuzaliwa hata binadamu watabadilika taratibu sana kuwa kitu kingine au hata kufa kabisa kama ilivyokuwa kwa dinosaur mazingira yalivyomshinda moja kwa moja, hakuna siku ya kiama
Haya mabadiliko ni asili ambayo ilikuwepo ipo na itaendelea kuwepo lakini.... kama teknolojia haitaingilia kati. Binadamu walibadilika kutoka spishi ya sokwe mpaka kuwa homo sapiens. Watu watakataa lakini haya mambo ya mabadiliko yapo na yataendelea kuwepo na haya mabadiliko hutokea tarabibu sana kiasi ambacho kugundua ni ngumu leo hii binadamu asilimia 35 tu duniani wanakunywa maziwa 65 hawanywi kwasababu binadamu wa zamani walikuwa wakimaliza tu kunyonya hawezi tena kunywa maziwa kwa sababu ya virutubisho vyake na sukali. Lakini mabadiliko yaliyopo sasa ni meno ya binadamu 32 yanapunguwa kuweka nafsi ya maziwa mdomoni.
Hii asili ya mabadiliko ipo na itaendelea kuwepo lakini pia hatuwezi kusahau kuzungumzia sayansi na teknolojia
Teknolojia pia sasa inaenda kukamata rimoti ya asili ya mabadiliko hivi sasa binadamu wanampango wa kupandikiza chip ifanye kazi pamoja na ubongo wako yani wewe unakuwa unaweza kuongea karibia lugha zote hii imetokana na mchanganyiko wa watu mbali mbali duniani sasa hii kitu pengine ingekuja kuwezekana huko miaka ya mbele lakini teknolojia imetake place chapu, sasa teknolojia imeweza kuwabadili mbu waziwe kuambukiza maralia
Sema hapa kwenye teknolojia kuna swali ambalo mpaka sasa linaonekana ndio shida kwamba tutajiharibu au ndio itakuwa sawa?
Asante na kwaheri
Pia watakuwepo viumbe wengine watakaoendana na hali hiyo either wewe mwenyewe ubadilike ili kuendana nayo. Kwanza Uwepo wa dunia haukuhitaji wewe ili uwepo.Kwa physics ndogo tu ya elimu ya secondary (bila kwenda huko juu) inaonesha dunia ina mwisho.
kwa kifupi sana; solar system inategemea nguvu ya jua kuwepo na kuzunguka; na Jua ndilo lina toa nguvu ya kushikilia solar system kila non - stop; Kumbuka kuwa kitu chochote kinacho toa enegy bila kujazia (kurudisha enegy inayo pungua) maana yake inapungua...hivyo itafika kipindi energy inayo tolewa na jua iwe imepungua kiasi kuwa haiwezi kushika sayari sinazo zunguka jua na hapo kila sayari ikiwemo dunia itaenda kivyake na nyingi ya sayari zita gongana kwa kishindo kikubwa sana na kusagika sagika kabisa na hapo utakuwa ni mwisho wa dunia na vilivyomo!
NI VIZURI UANDIKE MADA AMBAYO UNA ELIMU NAYO...