Unajua vizinga vimetofautiana vipo vya Aina tofauti tofauti.
1. Light kizinga
Hiki kinakuwa cha vitu vidogo vidogo, mfano vocha, lunch, etc hiki anapigwa yeyote bila kujali mpo kwenye Mahusiano au la
2. Middle light
Hiki baada ya Mahusiano vinaongezeka vipodozi, ya kusuka, nguo, na madude dude mengine ya cosmetics
3. Heavyweight kizinga
Hiki kizinga ndicho kinachotukimbizaga tulio wengi Aina hii ya kizinga huwa inakuja baada na Ku do. Hapa ndio matatizo yote yanawekwa bayana baada ya kutunukiwa 'kiazi kitamu'