Mkuu unajaribu kuwazungumzia wanaume wa sayari gani hao??
Acheni porojoSisi wa sayari ile ya tatu bado tupo au unawasubiri aliens[emoji23][emoji23]
Sayari hii hii. Mmoja wao nikiwa ni mimi.Mkuu unajaribu kuwazungumzia wanaume wa sayari gani hao??
Napaa kwa mikonoSayari hii hii. Mmoja wao nikiwa ni mimi.
Acheni porojo
Napaa kwa mikono
Kwamba??Unapishana na Gari la mshahara hivi hivi
Kwamba siwezi kuwa moja ya wanaume wema?
Karibu Mkuu, Muda mrefu ulipoteaBahili bahili tu haibadilishi mapenzi wala nini?
Kwamba??
ukinijaribu hakika hutojutiaWewe hata kwa mboko
HayaTumebaki wachache usichelewe na sisi tukapotea
Asubutuuukinijaribu hakika hutojutia
[emoji3][emoji3][emoji3] Au hii id inakutisha? "Troublemaker"Asubutuu
Wala ya kawaida mbona[emoji3][emoji3][emoji3] Au hii id inakitisha? "Troublemaker"
Ok.., nakukaribisha kwenye kisiwa cha maui Moana.Wala ya kawaida mbona
Ok.., nakukaribisha kwenye kisiwa cha maui Moana.