Hakuna mwanaume aliyeumbiwa kuwa na mwanamke mmoja

It is all sponsored by women,wakiacha kusponsor tutaanza kuona ni asili ya mwanaume kuoa zaidi ya gay mmoja.

Ni ngumu kumuamini binadamu anaekuja na kila aina ya story kulazimisha choice zake ziwe ndo reality ya society.

Magay walilazimisha,sasa tunao kupitia pursuasion wanatetewa kabisa.

Kweli akili za kuambiwa changanya na zako.

Sioni cha asili wala nini ni Choice tu ya lifestyle mtu anamake.mtupe labda case za mtu kukata roho kwa kukosa opportunity ya kuchovya chovya huku na kule.
Au kafa sababu ya kutongonoka labda kuna research zimefanywa mtujuze,wajuvi.kuwa ndano ya lab waliwekwa wanaume kadhaa wamekutwa wamejifia kwa kiu ya sex.
 
Kwa nguvu gani bwana weeee hebu msituchoshe
heee!! Wee bado mtoto! Ka mwanamke kamoja hakatoshi kabisaaa...sikia demu wangu alivo nijibu..."nimechoka kuchokonolewa kila wkt"".....alaaa kuumbe nikamuelewa nyie ke hata mpigwe nje hamzidi vianaume viwili...sitanii mie ninao 1800 kwa hesabu zangu za faster!! nawajua woote.

Hapo sasa wacha wale wa faster fasta!! Km ivi ""fanya haraka banaa kabla Mama hajatoka ndani"".......basi best hapo navutiaga hisia kali na naniliu ile pembeni naivuta kitu pyaaa!!...

Ndo maana mie nawaheshimuni sana nyie viumbe...yaani msingekuwa nyie tungekufa wooote.....kwani uongo... hata weye haya ulifanya .....lkn ngumu kwako husemi!! Tunaofunguka saaana ni sisi me.....na ke mmetufundisha meeengi sana kuhusu kubanjuka jamani mwee. Asanteni sana kwa huduma zenu. ....ndo maana hatu wanyanyasi sababu mmetutoa mbali. Mkisema tu tunakaa kimyaaaaa!!! Ukiona dume lina nyanyua mdomo kwa ke" jua tu halikupata tamuuuu ya kubanjuka juu.
 
Mie nashangaa ke jamani..kupigna mpigane nyie. Ajili yetu.

Jaki na vero mpaka leo hawaongei......mnatugombania mnaumana meno km Mbwa....weee!! Ajili yetu..uongo?

Ila kwa sasa vile hasira zenu zimepoa hamsemi tu....ila mnajua tunavowanyandua....mpaka mnaona mturoge tu ili yaishe......na wateja wetu wengi kiringeni. Ni ke......mie staki bana khaa!!!
 
Sasa hao wanawake wenye wanaume watano huwa wanaishi dunia gani mkuu?,maana mwanaume unaweza kuwa na wanawake watano na mwanamke pia anaweza kuwa na wanaume watano,kinachofanya mwanaume kusaliti mahusiano yake na kuwa na wanawake wengine sio kwamba ana nguvu nyingi sana za kiume Hapana ni kwamba ni tamaa tu yakutaka kubadilisha papuchi,kuna wanawake ukiwa nae anataka umkwichikichi kila siku iendayo kwa Mungu tena bado zaidi ya mbili sasa unadhani hizo nguvu unatoa wapi mkuu za kwenda kwa wanawake wengine zaidi ya kuongopeana tu hapa Jf
ukiona ke anafanya kila siku hakojoi huyo. Wkt wa faragh ya mambo zao....lkn yule mwanake anae kojole weee!!! Kwa km katerero vile....... Hizo nguvu za kwenda kwingine azitoe wapi?
Kwanza analegea siku nzima hata kipika hawezi itabidi me upike ndo wende kazini. Au umuachie hela ya kutosha .....na bado hazipati tena nyege mpaka week iishe.
Lkn sisi ukimaliza tu baada ya sekunde 30 unaweza kimbia. Lkn nyieeee ni km mijibata bukini. Mnazubaaga sana mkimaliza majamboo mwilini...tunawajua usitu danganye hapa....
 
Back
Top Bottom