Hakuna mwanaume aliyeumbiwa kuwa na mwanamke mmoja

Umegonga penyewe.Msema ukweli mpenzi wa Mungu......

wanawake wenye mafiga mangapi sjui kazeni buti.anyway hamna sheria inayokataza msiwe na na zaidi ya figa moja,so hamvunji sheria yoyote.
 
Asili ya dume ni kumiliki majike wengi, iwe kwa wanyama, ndege, hata binadamu pia.

Kinachotufanya tupoteze asili yetu, ya kutokumiliki wake wengi ni sababu za kiimani na kiuchumi, ambazo zililetwa na sisi binadamu wenyewe ili kuweza kuishi kistaarabu, pamoja na uwezo wa kuhudumia.

Ila kiuhalisia, mwanaume mwenye nguvu kamili hawezi kuishi na mwanamke mmoja, atakuwa na wanawake kadhaa waliojificha pembeni; na hii inatokana na asili ya uumbaji.

Mwanamke mmoja hawezi kuhimili vishindo vya mwanaume ambaye nguvu zake halisi bado kuchakachuliwa; ni vigumu kuweza kuhimili vishindo 20 kwa siku. Ndio maana, wanaume uanza kutafuta wa pembeni ili kupunguza hizo haja.

Pia kwa idadi ya wanawake ni wengi sana kuliko wanaume; kama kila mwanaume atajikita kwa mke mmoja, hawa wanawake waliobaki wataishi kwa huzuni na msongo wa mawazo. Ndio maana unaweza kuta, mwanaume mmoja ana wanawake hata watano.

Wanaume wameumbwa ili kumiliki wanawake kadhaa, huo ndio ukweli.

Mwanamume wa kwanza Adamu aliumbiwa mke mmoja tu aitwaye HAWA!! Asili ya mwanamume ni kuwa na mke mmoja!! Kuwa na wake wengi ni uzinzi!! Uzinzi ni dhambi!! na mshahara wa dhambi ni mauti!! Ila kuna habari njema! Ukimwamini Yesu anakusamehe dhambi zote na unaokoka! tamaa ya uzinzi inakwisha!! Hapo utamfurahia mkeo na atakutosha vilivyo!
 
Dada yangu Evelyn Salt ngoja nikwambie kitu Wanaume wanatafutiana kama ilivyo wanawake ni kweli Wanaume waliowengi wanatatizo la nguvu za kiume wala Hili halina ubishi ni fact hata mimi naliona kwa watu wengi Sana mfano kuna jamaa yangu nilimpa ghetto langu achakate manzi nimeshangaa katoka nae robo saa tu nikabidi nimuulize vip demu kakuzingua nini jamaa akanijibu mbona nishamgonga nikabidi tu ninyamaze lakini sio wote hawana nguvu za kiume kama ulivyoweka kwenye akili yako hivi umewahi kuona manzi ni pini kweli kweli ana date na jamaa ana sura mbaya na hela hana we kwa akili yako unazani manzi kampendea Nini huyo jamaa? Changamoto kubwa wanawake mnadate na waliokwenye kundi la Wanaume wasio na nguvu za kiume na hawa ni wale ambao mchele mchele, mabishoo ambao wengi wao hawana nguvu za kiume kutokana na nature ya sample hii ebu jaribu umuulize to yeye au Noelia akupe majibu hawa wanakutana na wazee wakazi wanaushahidi mzuri kabisa

Ungejua kwann anawaua wanaume humu usingejisumbua kumjibj coz(ana tatzo la saikolojia)kashamfuma mtu wake na madem mara kibao so anatafta nafuu kwa kuwasema wanaume wala hamanishi anachosema(kwa kifupi anaumia na mashida yake)
 
Unazungumzia vishindo vipi? Labda wa zamani siku hizi mnatupapasa tu...
Kwendeni zenu huko
Tatizo mmejiharibu wenyewe kwa kujisokomeza Machupa ya soda na bia huko kwa Bibi, Sasa njia imeshatanuka sana na ndiyo maana hamuwezi kusikia kitu hata mkisuguliwaje! Yaani ukichungulia huko chini unaikuta papuch iko wazi kabisa hadi kale kanyama kekundu ka ndani kanoenekana live!!
 
Asili ya dume ni kumiliki majike wengi, iwe kwa wanyama, ndege, hata binadamu pia.

Kinachotufanya tupoteze asili yetu, ya kutokumiliki wake wengi ni sababu za kiimani na kiuchumi, ambazo zililetwa na sisi binadamu wenyewe ili kuweza kuishi kistaarabu, pamoja na uwezo wa kuhudumia.

Ila kiuhalisia, mwanaume mwenye nguvu kamili hawezi kuishi na mwanamke mmoja, atakuwa na wanawake kadhaa waliojificha pembeni; na hii inatokana na asili ya uumbaji.

Mwanamke mmoja hawezi kuhimili vishindo vya mwanaume ambaye nguvu zake halisi bado kuchakachuliwa; ni vigumu kuweza kuhimili vishindo 20 kwa siku. Ndio maana, wanaume uanza kutafuta wa pembeni ili kupunguza hizo haja.

Pia kwa idadi ya wanawake ni wengi sana kuliko wanaume; kama kila mwanaume atajikita kwa mke mmoja, hawa wanawake waliobaki wataishi kwa huzuni na msongo wa mawazo. Ndio maana unaweza kuta, mwanaume mmoja ana wanawake hata watano.

Wanaume wameumbwa ili kumiliki wanawake kadhaa, huo ndio ukweli.
UKO SAHIHI MKUU
HUWEZI PINGANA NA ASILI, KAMA ILIVYO KWA MWANAMKE KWENDA PERIOD, NDIVYO ILIVYO KWA MWANAUME KUTO TOSHEKA NA MWANAMKE MMOJA.
TUNA HAKI YA KUKATAA NA KUPINGA HAPA HAPA, HAPA KULE ILA HATUNA HAKI YA KUBADILISHA UKWELI.
#MENSLIVESMATTER!
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom