Najua ni ngumu ... lakini naamini kwamba hakuna mwanamume anayempenda mkewe tu... akitoka nje ya nyumbani kwake anatoa macho kwa wanawake wengine kwa kuwatazama kwa bashasha na kuonyesha ishara ya kuwapenda... na sehemu kubwa ambazo wanaume wengi wanapenda kuziangalia ni makalio, miguu, macho na sura... ni tamaa au nini

Men are cannal creatures!!!! Unashangaa nini? Hii ni nature ya uumbaji
All husbands are like Bluetooth, Always connected to WIFE when she is around... But the moment WIFE is away... they automatically start searching new devices....Najua ni ngumu ... lakini naamini kwamba hakuna mwanamume anayempenda mkewe tu... akitoka nje ya nyumbani kwake anatoa macho kwa wanawake wengine kwa kuwatazama kwa bashasha na kuonyesha ishara ya kuwapenda... na sehemu kubwa ambazo wanaume wengi wanapenda kuziangalia ni makalio, miguu, macho na sura... ni tamaa au nini
Kauli hizi huwa zinainyong'onyeza roho yangu sana
not all, it could be better most of themAll husbands are like Bluetooth, Always connected to WIFE when she is around... But the moment WIFE is away... they automatically start searching new devices....