Nami nilitaka kusema hili, yaan akipatwa tatizo kidogo tuu anakuja humu kujaza saver,
Watu wamekuatana na changamoto na maisha yanasonga, hakika vijana wa kileo tuna vingi vya kujifunza
Tupo, and very faithful ones, sema kuna wanawake pasua kichwa sijui huwa hajui wanachokitaka kwenye mahusiano au hawaridhiki, tena hakuna raha kama kuwa na mwanaume mmoja maana unakua hauna wasiwasi wa amisha hata simu inakua free hakuna password wala kufichaficha
Labda tu aamue mwenyewe huu ndio ukweli kwa hivyo usikubali kujidanganya.ukifanikiwa kuzaa na mwanamke we jivunie tu mtoto.kuishi na mwanamke Ni shida yataka moyo.