Hakuna mwanamke wa peke yako

Labda tu aamue mwenyewe huu ndio ukweli kwa hivyo usikubali kujidanganya.ukifanikiwa kuzaa na mwanamke we jivunie tu mtoto.kuishi na mwanamke Ni shida yataka moyo.
Mmh acha kudanganya watu aisee, wako wanawake wengi Sana wanajiheshimu
 
Labda tu aamue mwenyewe huu ndio ukweli kwa hivyo usikubali kujidanganya.ukifanikiwa kuzaa na mwanamke we jivunie tu mtoto.kuishi na mwanamke Ni shida yataka moyo.
Nakazia wino kwenye haya maneno "Labda tu aamue mwenyewe "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…