ALEX_ANDER
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 570
- 828
babu ndio unauweka nini hapo kwenye sentensi ya mwishoHata maandiko yanajua kuna ,, mwanamke mpumbavu abomoaye nyumba yake mwenyewe.
Nakuna mwanamke mwema ( wife material ) kama alivyo Kapeace.
Duuuhhhh mkuuu kwan hastahili kukaa hapo ????babu ndio unauweka nini hapo kwenye sentensi ya mwisho
Tabia nikama rangi yangozi mkuuu.Huo ujenzi ndio wanaume wengi wasioutaka na pia nikwambie mkuu kuna baadhi ya sisi wanawake hatujengeki na hii mara nyingi inasababishwa na aina ya malezi tuliyopatiwa kuanzia chini.
Na ndio sababu kuna kausemi kanasema samaki mkunje angali mbichi. Ni wachache wenye uwezo wa kukunjuka pasi kuvunjika kwa kubadilishwa na mwanaume eti kisa anakutaka uwe hivi. Labda kama unavile vimapungufu vya kawaida hapo sawa vinabadilishika ila kuna mengine hayabadilishiki aisee.
Wife material ni suala "abstract". Hatuna marking scheme katika hili.Binafsi baada ya kujifikirisha, nimekuja kutambua kuwa kila mwanamke ni "wife material", inategemea tuu na mjenzi yaani mwanaume anataka material ya aina gani katika kujenga ndoa yake.
Umetisher emmyta .Na ndio sababu kuna kausemi kanasema samaki mkunje angali mbichi. Ni wachache wenye uwezo wa kukunjuka pasi kuvunjika kwa kubadilishwa na mwanaume eti kisa anakutaka uwe hivi. Labda kama unavile vimapungufu vya kawaida hapo sawa vinabadilishika ila kuna mengine hayabadilishiki aisee.
Umetisher emmyta .
Nimekuelewa sana. Mleta mada ni mbaguzi mno, kawalenga wenye IQ kubwa tu ndiyo wamuelewe. Sie kina moderate, severe kadhalika, sidhani kama tungeambulia kitu bila maelezo yako.
Ahsante kwa kunitafunia.
Nilidhani umefanya research, kumbe umejifikirisha!!Kuna hili neno "wife material" ambalo watu wengi hutumia kama "mukhtasari" wa sifa za mwanamke ambaye mtu fulani huwa anamuona anafanana mke bora kwa namna yake.
Binafsi baada ya kujifikirisha, nimekuja kutambua kuwa kila mwanamke ni "wife material", inategemea tuu na mjenzi yaani mwanaume anataka material ya aina gani katika kujenga ndoa yake.
Kwa hiyo basi:
1.Kwa mwanaume usije ukasema mwanamke fulani sio wife material, labda kiwango chako cha uashi hakijafikia kutambua jinsi ya kutumia materials aliyonayo.
2. Kwa mwanamke, Jua kuna fundi mwenye uwezo wa kujua jinsi ya kutumia materials uliyonayo ila bado hajajifikirisha.
Ukiona hakieleweki jua kuwa materials uliyonayo yanahitaji waashi waliotumia teknolojia iliyotumika kujenga Pyramids za Egypt.
Hongera kwa kulitambua hilo.Duuh. Shukrani sana mkuu. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Nadhani hiyo pia imekuwa sababu ya kufanya huu uzi ukasuasua.
Tuanze na umri wako kwanzaKuna hili neno "wife material" ambalo watu wengi hutumia kama "mukhtasari" wa sifa za mwanamke ambaye mtu fulani huwa anamuona anafanana mke bora kwa namna yake.
Binafsi baada ya kujifikirisha, nimekuja kutambua kuwa kila mwanamke ni "wife material", inategemea tuu na mjenzi yaani mwanaume anataka material ya aina gani katika kujenga ndoa yake.
Kwa hiyo basi:
1.Kwa mwanaume usije ukasema mwanamke fulani sio wife material, labda kiwango chako cha uashi hakijafikia kutambua jinsi ya kutumia materials aliyonayo.
2. Kwa mwanamke, Jua kuna fundi mwenye uwezo wa kujua jinsi ya kutumia materials uliyonayo ila bado hajajifikirisha.
Ukiona hakieleweki jua kuwa materials uliyonayo yanahitaji waashi waliotumia teknolojia iliyotumika kujenga Pyramids za Egypt.
aisee mpendwa umenena ukweli mwingiii afu mzitooo tena mtamuuu!Huo ujenzi ndio wanaume wengi wasioutaka na pia nikwambie mkuu kuna baadhi ya sisi wanawake hatujengeki na hii mara nyingi inasababishwa na aina ya malezi tuliyopatiwa kuanzia chini.
Na ndio sababu kuna kausemi kanasema samaki mkunje angali mbichi. Ni wachache wenye uwezo wa kukunjuka pasi kuvunjika kwa kubadilishwa na mwanaume eti kisa anakutaka uwe hivi. Labda kama unavile vimapungufu vya kawaida hapo sawa vinabadilishika ila kuna mengine hayabadilishiki aisee.
Ok we unajipa moyo ushampa malaya cheo uuuhhh machangudoa ni wife material
Nilidhani umefanya research, kumbe umejifikirisha!!