Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
Wanawake wa sasa bora wazungu waweke bidii kwenye kutengeneza matoy.
Bila shaka wewe ni mhengwa sio kwa nasaha hizo!Huo ujenzi ndio wanaume wengi wasioutaka na pia nikwambie mkuu kuna baadhi ya sisi wanawake hatujengeki na hii mara nyingi inasababishwa na aina ya malezi tuliyopatiwa kuanzia chini.
Na ndio sababu kuna kausemi kanasema samaki mkunje angali mbichi. Ni wachache wenye uwezo wa kukunjuka pasi kuvunjika kwa kubadilishwa na mwanaume eti kisa anakutaka uwe hivi. Labda kama unavile vimapungufu vya kawaida hapo sawa vinabadilishika ila kuna mengine hayabadilishiki aisee.
chaaa!!!!!Wanawake wa sasa bora wazungu waweke bidii kwenye kutengeneza matoy.