Hakuna mwanamke ambaye hajawahi ‘kujiuza’

Hahahaa! Ila wanaume mnatofautiana! Kuna watu ukiwa fake ndio utamuenjoy sana! Na kuna watu ukiwa real utaenjoy sana!
 
Hahahaa! Ila wanaume mnatofautiana! Kuna watu ukiwa fake ndio utamuenjoy sana! Na kuna watu ukiwa real utaenjoy sana!

Hiyo "fake" waga ni ya muda mfupi, kijamaa kikitimiza haja kinakata mrija, maigizo yanakokimbiza. Kumbuka hilo.
Anyway! Cheza ki wewe.. 😁
 
Ndivyo dunia ilivyo, no free lunch hasa kwa nchi za kimasikini kama Tanzania. Ukishachukua namba tu tegemea yeye kuishiwa kila kitu kuanzia chakula, gas, umeme, maji, vocha, kodi, kuumwa hadi chupi.

Mtu kapanga chumba analipa 200k, hana stable income au hana income kabisa ila anaishi lavishly, mtu wa hivi ukijiingiza you're gone my friend.

Nawapanga tu vijana, DATING A BROKE LADY ni kujitakia ufukara, hasa wakati huu mnajitafuta kiuchumi.
 
Sio wote mkuu

Kuna ambao hawaombi kabisa ila unajiongeza kuwapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…