Hata jogoo ana honga japo ana ichapa sekunde mojaUnataka kujipigia bure tu si ndio?
Anahonga nini sasa punje za mahindi au?😆Hata jogoo ana honga japo ana ichapa sekunde moja
Hauonagi anavyochakura chini na kutanua mabawa halafu anatoa ka mlio kakumwita mteteaAnahonga nini sasa punje za mahindi au?😆
Hauonagi anavyochakura chini na kutanua mabawa halafu anatoa ka mlio kakumwita mtetea
Amtie tena sio? Sio vibaya kumlinda mtetea wake kuna ka security fulani hivi anaka feel☺️Hauonagi anavyochakura chini na kutanua mabawa halafu anatoa ka mlio kakumwita mtetea
Hujakutana na slay queens ww, anadonoa donoa anaacha hapo na umelipia samaki elfu 60😅Shimo la mwanamke halijai na limeumbwa kupokea tuu. Unaenda na mwanamke hotel kula, kinabaki chakula anafunga kwenye tissue anatia kwenye mkoba. Wanawake wanadunia yao. 😁
Yeah hiyo ni saikolojia ndogo sana , mwanamke akikupenda hata ukimjali kwa vitu vidogo vidogo tu yeye anafurahiAmtie tena sio? Sio vibaya kumlinda mtetea wake kuna ka security fulani hivi anaka feel☺️
Hujakutana na slay queens ww, anadonoa donoa anaacha hapo na umelipia samaki elfu 60😅
Hawa wanaume ambao ndoa zao zimewashinda bana, akienda kuokoteza visichana huko naye ni mbaba mtu mzima, anataka atutie kwa wingii bila kuwajibika!Yeah hiyo ni saikolojia ndogo sana , mwanamke akikupenda hata ukimjali kwa vitu vidogo vidogo tu yeye anafurahi
Ikifika saa nane anakwambia kuna sehemu kuna mishkaki ya nundu pale masaki, akila kwa pozi inaganda haitaki tena🤭 mara nipeleke nikanywe vsop😆🤸🏽♀️ Kwakweli kama uchumi wako ni wa kuunga unga bora ukomae na hawa elfu 10 sijui 50🤗Na hapo baada ya muda kidogo atakwambia baby nasikia njaa. 😁
Ndio maana kuna namna ya kuishi na slay queens. Kusiwe na mambo mengi, aje ipige, mpe chake atembee.
Usitake muda nae mwingi. 😁