Ni kweli niko msibani.acha kumchokoza mwenzio....ana majonzi ujue........
Ni kweli niko msibani.
Narudi arusha asbh so kesho ntakuwa jijini
huyu huyu al shabab?
Mmmhhh yanga wewe!
..ingia Bilicanas ukalaleAje anipeleke home,nipo break point town.nimepiga maji hatari!
mambo wife!
Poa hubby!!Eti nimekumiss na tumeachana muda mchache uliopita!
Sijui nimelogwa.....