Hakuna mtu anayeweza kujibu hoja za Lissu?

AG Masaju anaweza ila hayana mashiko maana hata yeye anajua kuwa TAL anazungumza ukweli mchungu kwa watawala kumeza. Masaju anajua akizungumza ukweli atafuata nyayo za Muhongo. Akizungumza uongo ili tu kumfurahisha sizo ni aibu na atadharaulika katika medani za taaluma yake. "wacha akae kimya"!
 
na
Nimemsikiliza tena Lisu leo hii,
Hata wewe ukimsikiliza utangundua kuwa kuna hoja katika maelezo yake ambazo zinapaswa kujibiwa kwa hoja pia.

Nategemea serikali itakuja kumjibu huyu jamaa nasubili kwa hamu sana .
nasubili>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>nasubiri
 
AG Masaju anaweza ila hayana mashiko maana hata yeye anajua kuwa TAL anazungumza ukweli mchungu kwa watawala kumeza. Masaju anajua akizungumza ukweli atafuata nyayo za Muhongo. Akizungumza uongo ili tu kumfurahisha sizo ni aibu na atadharaulika katika medani za taaluma yake. "wacha akae kimya"!
Umemsikia Tibaijuka?
 
Hakuna mwenye akili kwenye hii sirikali mwenye uwezo wa kumjibu Tundu Lissu.
 
Nimemsikiliza tena Lisu leo hii,
Hata wewe ukimsikiliza utangundua kuwa kuna hoja katika maelezo yake ambazo zinapaswa kujibiwa kwa hoja pia.

Nategemea serikali itakuja kumjibu huyu jamaa nasubiri kwa hamu sana .
Kwani Lissu ni ACCACIA ?watu bana eti serikali imjibu Lissu,Lissu ni nani nchi hii?kila mbunge akitaka ajibiwe si tutashindwa hata kujadili bajeti.Lissu ni mbunge tu sawa na akina Msukuma
 
"kadri unavyopanua wenzio wakishaona ndio wanazidi kutamani"

Profesaaaaa!!!!
 
Back
Top Bottom