umenichekesha,anyways unajua kujitetea kweli!Usiseme jinsia pendwa. ungesema kwa wote KE na ME maana kwa ujumla wote huwa wanajisahau sana. utakuta mwanaume anamwacha mwanamke kwa vile kapata hela za kuwanunua wanawake wengine. Na kuna wanawake wanawaacha wanaume zao kwa vile hawana hela. wanaenda kwa vidosho.
Ni kuwaombea tuh
Hahahaaa balaa sana mkuuAmetumia nguvu nyingiiii
wala. nilikuwa najaribu kubalance mezaniumenichekesha,anyways unajua kujitetea kweli!
You said it rightUsiseme jinsia pendwa. ungesema kwa wote KE na ME maana kwa ujumla wote huwa wanajisahau sana. utakuta mwanaume anamwacha mwanamke kwa vile kapata hela za kuwanunua wanawake wengine. Na kuna wanawake wanawaacha wanaume zao kwa vile hawana hela. wanaenda kwa vidosho.
Ni kuwaombea tuh
hahaaaa nimekuelewa the activistwala. nilikuwa najaribu kubalance mezani