GRAPHIX MASTER
Senior Member
- May 22, 2015
- 165
- 87
Mchezo unaitwa MMA (Mixed Martial Arts) dah ni hatari zaidi hata ya Boxing, ni kama street fight, yaani ni marachache pambano linaisha bila KO na TKO, na ni marachache pambano linaisha bila mtu kubleed, this is what we call 'the real fighters', pia huku sio kama kwa kina Mayweather eti unamaliza career bila kudundwa huku haipo. Pichani ni Brock Lesnar alipopasuliwaga vibaya UFC