Hakuna mbadala wa Magufuli kwa sasa, Hakuna...

Wakuu,watu wamekua wanafiki wa kiwango kikubwa sana.Leo hii wanaona Magufuri hafai lakini wanasahau nchi hii imeibiwa kwa muda mrefu.

Toka awamu ya 3 mpaka ya 4 watu wanaiba tu,kwanzia uongozi wa juu mpaka ngazi ya kata.Kila mtu alikua fisadi,na pesa nyingi mnaosema imepotea kwenye mzunguko ndio hiyo pesa ya wizi kila idara ya serikali.

Tulikua tunaishi fake life,nchi ilikua inauzwa kila idara.Leo hii Rais anashindwa kusafiri kwenda duniani huko sababu waliokua wanasafiri kabla yake waliuza kila kitu.Mikataba imesainiwa kila idara hakuna kuliko wazi.

SIRI AMBAYO WENGI HAMUIFAHAMU

Magufuri hajawa Rais kwa bahati mbaya,baada ya nchi kuibiwa kwa muda mrefu ilionekana hakuna mtu mwingine yeyote wa kuachiwa hili zigo la MISUMARI zaidi ya Magufuri.

Pamoja na mabaya yote aliyoyafanya JK,zawadi pekee aliyotuachia ni MAGUFURI.Hakutaka kutuachia wezi wengine atimae tungerudi utumwani.

Hii tabia alionayo Magufuri ndio ilimpa 100% ya kuaminika na kukubalika kuachiwa nchi iliyopitia vipindi vya kifisadi kwa muda mrefu.

Magufuri aliachiwa zigo la MISUMARI,tena zigo kweli kweli.

Narudia tena,kwa sasa hakuna mbadala wa Magufuri....HAKUNA...HAKUNA.
Kuna ufisadi kama trilioni 1.5 kupotelea mikononi mwa kichaa??

Kuna ufisadi kama wa kununua kivuko kibovu Kwa bei ya kivuko kipya??

Kuna ufisadi zaidi ya kuitoa sukari toka 1500 mpaka 5000(huu ni zaidi ya uhayawani naufisadi uliokithiri!

N.k
N.k

Timu chato mmepaniq nini?? Tulieni dawa iwaingie vizuri!
 
Mmeanza tena kutengeneza mazingira ya kung'ang'ania magogoni kwa kigezo cha kuwa hakuna kama jiwe.
 
Chuma 2015/chuma 2020 na chuma 2025 baada ya hapo tafuteni kitu kingine chuma kitakuwa kimeng'atuka.
 
Wakuu,watu wamekua wanafiki wa kiwango kikubwa sana.Leo hii wanaona Magufuri hafai lakini wanasahau nchi hii imeibiwa kwa muda mrefu.

Toka awamu ya 3 mpaka ya 4 watu wanaiba tu,kwanzia uongozi wa juu mpaka ngazi ya kata.Kila mtu alikua fisadi,na pesa nyingi mnaosema imepotea kwenye mzunguko ndio hiyo pesa ya wizi kila idara ya serikali.

Tulikua tunaishi fake life,nchi ilikua inauzwa kila idara.Leo hii Rais anashindwa kusafiri kwenda duniani huko sababu waliokua wanasafiri kabla yake waliuza kila kitu.Mikataba imesainiwa kila idara hakuna kuliko wazi.

SIRI AMBAYO WENGI HAMUIFAHAMU

Magufuri hajawa Rais kwa bahati mbaya,baada ya nchi kuibiwa kwa muda mrefu ilionekana hakuna mtu mwingine yeyote wa kuachiwa hili zigo la MISUMARI zaidi ya Magufuri.

Pamoja na mabaya yote aliyoyafanya JK,zawadi pekee aliyotuachia ni MAGUFURI.Hakutaka kutuachia wezi wengine atimae tungerudi utumwani.

Hii tabia alionayo Magufuri ndio ilimpa 100% ya kuaminika na kukubalika kuachiwa nchi iliyopitia vipindi vya kifisadi kwa muda mrefu.

Magufuri aliachiwa zigo la MISUMARI,tena zigo kweli kweli.

Narudia tena,kwa sasa hakuna mbadala wa Magufuri....HAKUNA...HAKUNA.

Amezuia wizi au Amezuia wizi kutangazwa? Yeye ndio anapanga wizi wa kura utasemaje kaja kuzuia wizi? Deni la taifa ni kiasi gani toka ameingia madarakani kulinganisha na maendeleo anayohubiri na matumizi yake? kutawala kwa kuziba watu midomo ndio kumaliza matatizo yaliyokuwepo? Wapi 1.5t? Akanunue korosho kwa sh 5,000@ kilo ndio uje hapa.
 
Mkuu umesahau hera inayo tumika kununua wa Bunge na kurudia uchaguzi ni kubwa kuliko ya kusafiri nje, awamu ya tatu na nne hawakuweza kufanya ujinga kama huo......
Wewe inabid tukupeleka Milembe ukachekiwe
 
1.5 trillion ni ufisadi wankutisha sana.Magufuli kweli ndio baba wa mafisadi.kama awamu zilizopita walikuwa mafisadi sasa iweje wamweke mtu ambaye ni msafi na hapendi ufisadi?Kumbuka ndege wa aina moja huruka pamoja.kama sivyo basi ujue Magufuli ni kama tv tu.remote ipo msoga au kwa mkapa.Hana maana yoyote.
 
Wakuu,watu wamekua wanafiki wa kiwango kikubwa sana.Leo hii wanaona Magufuri hafai lakini wanasahau nchi hii imeibiwa kwa muda mrefu.

Toka awamu ya 3 mpaka ya 4 watu wanaiba tu,kwanzia uongozi wa juu mpaka ngazi ya kata.Kila mtu alikua fisadi,na pesa nyingi mnaosema imepotea kwenye mzunguko ndio hiyo pesa ya wizi kila idara ya serikali.

Tulikua tunaishi fake life,nchi ilikua inauzwa kila idara.Leo hii Rais anashindwa kusafiri kwenda duniani huko sababu waliokua wanasafiri kabla yake waliuza kila kitu.Mikataba imesainiwa kila idara hakuna kuliko wazi.

SIRI AMBAYO WENGI HAMUIFAHAMU

Magufuri hajawa Rais kwa bahati mbaya,baada ya nchi kuibiwa kwa muda mrefu ilionekana hakuna mtu mwingine yeyote wa kuachiwa hili zigo la MISUMARI zaidi ya Magufuri.

Pamoja na mabaya yote aliyoyafanya JK,zawadi pekee aliyotuachia ni MAGUFURI.Hakutaka kutuachia wezi wengine atimae tungerudi utumwani.

Hii tabia alionayo Magufuri ndio ilimpa 100% ya kuaminika na kukubalika kuachiwa nchi iliyopitia vipindi vya kifisadi kwa muda mrefu.

Magufuri aliachiwa zigo la MISUMARI,tena zigo kweli kweli.

Narudia tena,kwa sasa hakuna mbadala wa Magufuri....HAKUNA...HAKUNA.
Wakati nchi inaibiwa alikuwa wapi? Mbona wizi mwingine na yeye kashiriki. Muulize nyumba za serikali alizigawaje?
 
MEMBE= PRESIDENTIAL MATERIAL.

JIWE=PRESIDENTIAL RUBBISH.

MEMBE > JIWE

Hence MEMBE FOR PRESIDENCY 2020.

#CCMTwendeniNaMEMBE2020
#MEMBEkwaUSHINDIwaUHAKIKA.
 
Wakuu,watu wamekua wanafiki wa kiwango kikubwa sana.Leo hii wanaona Magufuri hafai lakini wanasahau nchi hii imeibiwa kwa muda mrefu.

Toka awamu ya 3 mpaka ya 4 watu wanaiba tu,kwanzia uongozi wa juu mpaka ngazi ya kata.Kila mtu alikua fisadi,na pesa nyingi mnaosema imepotea kwenye mzunguko ndio hiyo pesa ya wizi kila idara ya serikali.

Tulikua tunaishi fake life,nchi ilikua inauzwa kila idara.Leo hii Rais anashindwa kusafiri kwenda duniani huko sababu waliokua wanasafiri kabla yake waliuza kila kitu.Mikataba imesainiwa kila idara hakuna kuliko wazi.

SIRI AMBAYO WENGI HAMUIFAHAMU

Magufuri hajawa Rais kwa bahati mbaya,baada ya nchi kuibiwa kwa muda mrefu ilionekana hakuna mtu mwingine yeyote wa kuachiwa hili zigo la MISUMARI zaidi ya Magufuri.

Pamoja na mabaya yote aliyoyafanya JK,zawadi pekee aliyotuachia ni MAGUFURI.Hakutaka kutuachia wezi wengine atimae tungerudi utumwani.

Hii tabia alionayo Magufuri ndio ilimpa 100% ya kuaminika na kukubalika kuachiwa nchi iliyopitia vipindi vya kifisadi kwa muda mrefu.

Magufuri aliachiwa zigo la MISUMARI,tena zigo kweli kweli.

Narudia tena,kwa sasa hakuna mbadala wa Magufuri....HAKUNA...HAKUNA.
Bila shaka akili yako ina kengeza..!
 
Back
Top Bottom