TheGreatASA
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 302
- 391
Tumia Nox nzuri sana na wala haina complications
kwa ushauri yako nzurii ni ipi mkuu nitumieee kwenyb pc yanguKuna njia mbili,
Apo kama ni mbadala wa bluestacks then unatafuta emulator, iwe free chagua kati ya
1. Tumia Youwave
2. AmiDuOS
Nyingine kama Andy au droid4X zinaaumbua maana unahitaji malipo na kama droid4X ina data limit
inaamaanisha kila ukii ingia whatsap ni lazima scan AU ni mara moj ukisha scan ndo unakua unatumia mazima yaani kil siku…..Mbona naona hamgusi kitu chepesi,mozila browser Luna ad on ya WhatsApp.Unainstal na kila ukitaka kutumia WhatsApp unascan ioe barcode na WhatsApp ya simu yako.Au nimekosea wadau,mi ndo nafanya hivo
Habari nataka nitaka ni install whatsapp kwenye pc maana sina smartphone kwa sasa. Sasa hii BlueStack naona inafanya PC kuwa nzito hatari . Kwa anaye fahamu software nyingine mbadala.
Asanteni
umenikumbusha mbali sana mkuu nilishawahi itumia hii iko njemaTumia Remix Os Android version made by Jide,actual ni modified port ya Android-x86 or unaweza install the official ports (iso images) direct on virtual environment like virtual box cheki How to Install Android in VirtualBox on how to do it. And unaweza pia tumia ready made virtual machines Android x86 VM images for VMware and VirtualBox just install VMWare or Virtualbox then load the machine and your ready to go!