Hakuna mbadala wa Bluestack???

Kuna njia mbili,
Apo kama ni mbadala wa bluestacks then unatafuta emulator, iwe free chagua kati ya
1. Tumia Youwave
2. AmiDuOS
Nyingine kama Andy au droid4X zinaaumbua maana unahitaji malipo na kama droid4X ina data limit

Ni nyepesi kaka isiwe tena mzigo
 
Youwave haina shida, ina 172MB plus apk ya whatsapp so ni nyepesi ata kwa xp inafanya

Naona changamoto tena hapa???
"Choose a version. Premium Version is Android Lollipop. It costs $29.99 (10-day trial) and has no ads. Note: The Free Version installer may have ads. If you do not like installer ads, choose Premium Version below."
 
google chrome ni platform nzuri ina kila kitu unachokitaka ni zaidi ya browser(wengi hatulijui hili)

Ni kweli mkuu, halafu wana browser Yao nyingine inaitwa torch. Hii ndio inamaliza kila kitu, kama unataka whatsapp na instagram ni just a single click. Pia inakuja na built-in torent ambayo inakurahisishia kudownload movies na YouTube music
 
Mbona naona hamgusi kitu chepesi,mozila browser Luna ad on ya WhatsApp.Unainstal na kila ukitaka kutumia WhatsApp unascan ioe barcode na WhatsApp ya simu yako.Au nimekosea wadau,mi ndo nafanya hivo
Hapo mkuu kwa jamaa mtoa mada hiyo Luna adon haitaweza kumsaidia maana ni lazima ku scan QR Codes kwa kutumia simu yako yenye Whatsapp na yeye anasema hana smartphone kwa sasa ndo maana anataka kujua jinsi yakuweka Whatsapp kwenye pc bila ya Blue stack
 
Back
Top Bottom