Hakuna Matata Beach Lodge - ZNZ

Lazima nije hapo honeymoon kula maisha na mama toto kidogo! .cku moja moja si mbaya
 
Hoteli hii inamilikiwa na Mjerumani. Ipo KM 15 kazkazini mwa Stone Town, Zanzibar (nusu saa kwa taxi kutoka feri). Villa inaanza US$80 / TShs 175,000 kwa siku.











Nikitia mguu zenj hapo lazima maana kw 175000 n affordable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…