Hakuna kushare simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakuna kushare simu

Discussion in 'Jamii Photos' started by Viol, May 2, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
 2. J

  JOJEETA Senior Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  japo uckute mkewe kamsave 'dada' au mumewe kamsave anko.
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa hali ya binadamu wa leo mbona wachache hao?
   
 4. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ukiona hivyo ujue hapo yupo kwake... akienda kwa hao kina-mylove wake majina yote hayo yanabadilika... kama ni mdada replacement ya majina hayo 3 yatakuwa kama ifuatavyo, hii yote anafanya hivo ili ikipigwa kidume usiwe na wasiwasi kwa nature ya majina: mfano

  mylove1: ataitwa Mjomba james
  mylove2: ataitwa Baba mdogo Kaduma
  my love3: ataitwa kaka Shukuru

  kwa mwanamume, majina hufanana na haya:

  mylove1: Lusekelo Kibona
  mylove2: The Big Daddy
  mylove3: Chiddy Boy

  yote hii mchuchu ajue ni washkaji tu wanapiga...
  kaz ipo kwenye ndoa na mahusiano siku hizi.... walioa na kuolewa wazee wetu tu... sisi tunalamba magarasa tu...
   
 5. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,471
  Likes Received: 4,747
  Trophy Points: 280
  huyu atakua no mume/mke
   
Loading...