Hakuna kufanya mpaka ndoa

kweli ww mzee wa njaa! mbona huyo dada amerisk kusubiri,ama unahisi mashine ya jamaa inaweza isiwe mbovu? huyo dada ana akili sana, hapo jamaa lazma atangaze ndoa ndani ya miezi 6.mnatudanganya mnachunguza,mmekuwa pccb?! mkipewa tu mnasepa! na hata kama yy sio bikira,keshajifunza kutokana na makosa.kaka nae sio bikira,asianze kujisemelesha!
Kaka kumbuka unaweza subiri mpaka utakapo Oa then ukisha OA unakuta masine mbovu kinyama then unashindwa kumuacha unabaki kulia na kuhudhunika...Kumbuka wengi wao mashine zao zimechoka kwani akikupa utamkimbia nakuambia kuwa makini sana tena kupita kiasi kuna kitu anaficha huyo na hataki wewe ukifahamu.
<br />
<br />
 
hapa sina cha kusema manake mambo hayatabirik, ww hupat akija mwenzio faster wanamfunulia
 
yale yale..!.sasa wewe kwanini umwambie utamuoa?matatizo yake ndo hayo.muombe akuruhusu upatate mchuchu(kama hus anavyosema)mwingine wa kukuliwaza kipindi hiki mnasubili kuoana.mia
 
Aaaah!,..huyo mdada ana lake jambo, pengne anataka kulazmisha ndoa,.
Kaka nakushaur usikurupuke kuoa bila kutest aisee,
kujaribu muhmu sana,coz unajua vizur alivyo kwa ndan,..
 
Back
Top Bottom