Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
Narudis
Hakuna kitu kinaondosha baraka ya pesa kama zinaa na pombee
Ukishapataa tu ukaanza kuinunulia Malaya kuinunulia Pombe hata ukiitolea sadaka ya kujimaliza. Kitaumanaa tu
Namaanisha imeingia najiisiiiii
Na ikishaingia najisi tu
Ukishainajisi basi mda si mrefu zilizopo zote zinapotea na pale unaanza kukumbuka nilikosea wapi kumbe uliinajisi ama kuizallilisha pesa
Hapo Mungu Amendokaa kwenye kipato chakoo
Badilika badilisha maisha yako Mpendwa
N