Hakuna kitu kinachoniudhi kama kuwapa wageni tenda badala ya wazawa

Juzi nimerudi kutoka Pakistan

Leo nikawa naelekea mbezi kwa nigga wangu mmoja hivi, nafika pale ubungo naona Kuna ujenzi wa barabara mpya cha kusikitisha tenda inasimamiwa na mchina

Hivi wakandarasi wa bongo wako wapi??? Hawa graduates wa mlimani wanashindwa hata kujenga barabara???
Kiranja hana imani na watz labda suma jkt tu, wengine ni wezi, wala rushwa na wapiga dili nyie kazi yenu ni kulipa kodi na fine. Kodi yenu yeye anaitumia vizuri kununua midege na kulipa kandarasi za nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom