Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,591
Acha kuwa wack,atoke engineer China aje kufanya ujenzi Bongo,kwani hapa bongo Kuna engineers wangapi?Wamekwambia wanashindwa? Kama hawapati kazini wafanyeje?
Pakistan ngada Sana,sema round hii kuingiza mzigo sio kitotoPakistan nako kuna fursa?
Inanikera Sana hii ishuLabda bongo kuna digrii za vyupi tu,hakuna qualified professionals.
Juzi nimerudi kutoka Pakistan,Leo nikawa naelekea mbezi kwa nigga wangu mmoja hivi,nafika pale ubungo naona Kuna ujenzi wa barabara mpya cha kusikitisha tenda inasimamiwa na mchina,hivi engineers wabongo wako wapi??? Hawa graduates wa mlimani wanashindwa hata kujenga barabara??? This country is f**** up, foolish
Kazi yenu kupiga porojo humu hamtaki kujishughulisha acha wachina wajenge.Acha kuwa wack,atoke engineer China aje kufanya ujenzi Bongo,kwani hapa bongo Kuna engineers wangapi?
Labda bongo kuna digrii za vyupi tu,hakuna qualified professionals.
Yep,Tena January nitakuwa Queens New York,if u know what I meanHaya tushajua ulikua Pakistan
Mimi nimesoma MEMKWA tu na kupata first class GPA ya 32.Yako ikoje?
NoMuhaya