Engineer wa UDSM umpe mradi mkubwa hahaha, nchi yetu inatoa VILAZA tu hata kile kipande walichomsifia Mfugale, ulikuwa ukipita wajapani wapo kutwa. Wabongo tunaweza uongo na majungu, sio construction za maana.
Maktaba mpya ya UDSM wamejenga wachina, ma engineers wa UDSM wapo.
Sasa uwakute huko bar kujisifia hahaha.
Maktaba mpya ya UDSM wamejenga wachina, ma engineers wa UDSM wapo.
Sasa uwakute huko bar kujisifia hahaha.