Hakuna kitu kinachoniudhi kama kuwapa wageni tenda badala ya wazawa

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
7,328
6,589
Juzi nimerudi kutoka Pakistan

Leo nikawa naelekea mbezi kwa nigga wangu mmoja hivi, nafika pale ubungo naona Kuna ujenzi wa barabara mpya cha kusikitisha tenda inasimamiwa na mchina

Hivi wakandarasi wa bongo wako wapi??? Hawa graduates wa mlimani wanashindwa hata kujenga barabara???
 
Juzi nimerudi kutoka Pakistan,Leo nikawa naelekea mbezi kwa nigga wangu mmoja hivi,nafika pale ubungo naona Kuna ujenzi wa barabara mpya cha kusikitisha tenda inasimamiwa na mchina,hivi engineers wabongo wako wapi??? Hawa graduates wa mlimani wanashindwa hata kujenga barabara??? This country is f**** up, foolish



Mbn ni kawaida maana wao wanatoa misaada mfn kujenga hizo barabara ila kwenye masharti ni kwamba ma engineer wakuu walete wao, vifaa wao so mnakuja kujikuta mkilipa mkopo mnalipa na gharama za hao ma engineer na vifaa so wanapanda kiuchumi.


WANA AKILI SANA HAWA WATU.
 
safari hii kidogo wamepata kazi ila kiukweli hawa wahandisi wameajiriwa na watu wasio na taaluma hiyo ndo ma contractor wao wanatoa ujuzi tu.
bado safri ndefu ila watafika tu ni sawa kuwa na mtu mwenye MBA halafu ana CPA lakini bado kaajiriwa na kashindwa kutengeneza kazi kiukweli wanasheria wanajitahidi kwa kujiajiri labda ni kwasababu ndio ilikuwa degree ya kwanza kutolewa tanzania pale Lumumba.
 
Kurudi kwako kutoka Pakistan kunahusianaje na kukuta Wachina wakijenga barabara zetu badala ya mainjinia wa Tz?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom