Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,501
- 6,645
Kivipi mkuu. Fafanua kidogoHakuna karma, Hakuna baraka.
Watu wana amini kwamba eti ukitenda ubaya utalipwa ubaya(karma) lakini hakuna kitu kama hiki.Kivipi mkuu. Fafanua kidogo
Elimu bahari mkuu hakuna unacho kijuaHakuna karma, Hakuna baraka.
Aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokeaLAANA LAANA LAANA
Katika akili yako toka uzaliwe kama ulikuwa hujui leo nakupa madini hakuna kitu kinachoitwa LAANA narudia tena hakuna LAANA
LAANA nikitu umepandikizw kichwani either kw kuhadithiwa au kupitia vitabu vya kidini ila nataka ufaham kila kitu kinacho tokea maishani mwako nimatokeo tu ya life style yako ....
ukiwa unafikiria kushindwa muda wote utavutia kushindwa kila kitu utachofanya utashindwa utasingizia laana ya kushindwa....
ukiwa unawaza ushindi kila kitu utachogusa ama kufanya kitakuwa ni ushindi, hii inaitwa law of attraction
sasa kuna kitu kingine watu hawakijui kinaitwa KARMA jambo lolote unalo lifanya liwe zuri ama baya linamalipo yake hyo ndio KARMA kwahyo inawezekana hiyo unayoiita laana ni KARMA ya jambo fulan baya uliwahi kufanya huko nyuma
#ahsanteView attachment 3174048
Wewe unasema hakuna laana, halafu hapohapo unasema kuna karma.Elimu bahari mkuu hakuna unacho kijua
The Law of Cause and EffectKARMA jambo lolote unalo lifanya liwe zuri ama baya linamalipo yake
Ndo inawalipia sasa Kwa waafrica kuanza kuamkaWewe unasema hakuna laana, halafu hapohapo unasema kuna karma.
Yaani una ji contradict mwenyewe.
Kama karma ingekuwepo, mababu zetu walioteswa na kudhulumiwa utumwani na kipindi cha ukoloni, Hiyo Karma ingewalipia.
Lakini nothing happened.
Mkuu umevuta bange ama nini? πNdo inawalipia sasa Kwa waafrica kuanza kuamka
Nimekula kabisa acha kuvutaππMkuu umevuta bange ama nini? π
Ebu ingia gugu usome kitu kinaitwa " Benfica Curse" halafu uje tujadili.LAANA LAANA LAANA
Katika akili yako toka uzaliwe kama ulikuwa hujui leo nakupa madini hakuna kitu kinachoitwa LAANA narudia tena hakuna LAANA
LAANA nikitu umepandikizw kichwani either kw kuhadithiwa au kupitia vitabu vya kidini ila nataka ufaham kila kitu kinacho tokea maishani mwako nimatokeo tu ya life style yako ....
ukiwa unafikiria kushindwa muda wote utavutia kushindwa kila kitu utachofanya utashindwa utasingizia laana ya kushindwa....
ukiwa unawaza ushindi kila kitu utachogusa ama kufanya kitakuwa ni ushindi, hii inaitwa law of attraction
sasa kuna kitu kingine watu hawakijui kinaitwa KARMA jambo lolote unalo lifanya liwe zuri ama baya linamalipo yake hyo ndio KARMA kwahyo inawezekana hiyo unayoiita laana ni KARMA ya jambo fulan baya uliwahi kufanya huko nyuma
#ahsanteView attachment 3174048
Mkuu na wewe una aamini kabisa hizo hekaya za laana ya Benfica ππEbu ingia gugu usome kitu kinaitwa " Benfica Curse" halafu uje tujadili.
Hata hiyo karma HAKUNAsasa kuna kitu kingine watu hawakijui kinaitwa KARMA jambo lolote unalo lifanya liwe zuri ama baya linamalipo yake hyo ndio KARMA kwahyo inawezekana hiyo unayoiita laana ni KARMA ya jambo fulan baya uliwahi kufanya huko nyum