Hahahaha Yani Kuna vitu serious navipitia kwenye familia halafu mm ndo mkubwa nashindwa kuvisolve
Nimepoteza ndgu na jamaa wa familia sababu tu ya umaskini ya kukosa pesa ya kugharamia matibabu...nauchukia umaskini natafuta usiku na mchana lakini mambo ni magumu
Hawa matajiri wamefanyaje?