Hakuna kazi rahisi duniani

Nipe namba zake shost
 
mtoa mada dhumuni la stori yako ni.??
 
Napenda sana namna unasimulia hizi hadithi zako. Kuna kujifunza sana.
 
Kazi Ngumu Kwa Mwanaume Ni Kushikishwa Ukuta Tu Izo Nyingine Zote Rahisi..
 

Okay, all the threader's innuendos aside;

Hapo namuona mwanamke anayefanya maamuzi yenye faida kwa maisha yake (Sitaki kuhukumu lakini). NI mwanamke mwenye maamuzi magumu.
1) Elimu imeshindwa kumtoboza katumia, natural baraka kwa ukaribu na bosi wake akapata kazi
2) Alipoona fursa nzuri zaid kwa rafiki wa boss akatoka kwa mume wa mtu akaenda kwake halali.
3) Akaacha kazi magumashi akaanza kazi halali anayoihangaikia (The fact that mgongo unamuuma, inaelezea ni jinsi gani yuko serious na maisha yake mapya. - Hasa hasa kwa sababu si yeye aliyefungua uzi )

4) The way i see this going is ; Atakuja kua na hela kuliko watu wengi sana wa payroll and thanks to her keen decision making abilities. Kufeli elimu si kufeli maisha.

Kama Threader sikuelewa Uzi wake then what a waste!
 
Amezoea kula vya bure... alifikiri pesa zinaokotwa tu. Sasa na yeye aone jinsi gani pesa zinatafutwa.
 
Amezoea kula vya bure... alifikiri pesa zinaokotwa tu. Sasa na yeye aone jinsi gani pesa zinatafutwa.
Exactly...halafu kujiajiri bado ni kwa vile form six alizungusha...hana option
 

Sky, labda kama unamaanisha kitu ingine, lakini hii ya kupata "back pain" kwa ajili ya kufuga kuku tu?

Ila huyo jamaa (best) ana akili sana ya maisha maana hataki kipa anataka "mchezaji wa kiungo".
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…